fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
timu ya kawaida ina fika fainali ya kombe la shirikisho?unakunywa mataputapu?Kuna rafiki yangu alikuwa anamiliki gazeti la michezo wakati fulani. Rafiki yangu huyu alinipa Siri ni Kwa vyombo vya habari huwa vinaipaisha sana Yanga.
Alisema kuwa mashabiki Wa Simba si wanunuzi Wa habari za michezo kuliko mashabiki wa Yanga.
Kwa maelezo yake ni kwamba siku Yanga ikishinda mauzo ya habari za Yanga huwa Juu kuliko Simba ikishinda.
Kwa Ivo Yanga ni lazime isifiwe Kwa Kila njia Ili watu wafanye biashara.