fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
timu ya kawaida ina fika fainali ya kombe la shirikisho?unakunywa mataputapu?Kuna rafiki yangu alikuwa anamiliki gazeti la michezo wakati fulani. Rafiki yangu huyu alinipa Siri ni Kwa vyombo vya habari huwa vinaipaisha sana Yanga.
Alisema kuwa mashabiki Wa Simba si wanunuzi Wa habari za michezo kuliko mashabiki wa Yanga.
Kwa maelezo yake ni kwamba siku Yanga ikishinda mauzo ya habari za Yanga huwa Juu kuliko Simba ikishinda.
Kwa Ivo Yanga ni lazime isifiwe Kwa Kila njia Ili watu wafanye biashara.
Ugali kwa sukari, saivi angalau bei inapunguaYaani kujibu watu tu wawili ndiyo imeshakuwa nachangia mwenyewe?
Wala mihogo huwa mnakuwa na makasiriko sana.
Na bado mkaja tembeza bakuliHiyo ni kabla ya digital platforms we mbweha!..2005/6 kiingilio game za Simba ilikua buku jero wakati yanga buku 3
Itakua una umri na uelewa mdogo,Simba na yanga huko nyuma mabakuli ni kawaida,timu za wanachamaNa bado mkaja tembeza bakuli
Sasa huko kutoza viingilio ghali ndio ukubwa wa timu yenu, lakini mwishoni tukutane tena kwenye kujitafutaItakua una umri na uelewa mdogo,Simba na yanga huko nyuma mabakuli ni kawaida,timu za wanachama
Hilo la kuiomba TFF ni uzushi.Usisahau ni timu pekee iliyokuja ikitembeza kapu ili ipate mapato ya kuendesha timu, pia ni timu pekee iliyoiomba TFF mechi zake za msimu wa kwanza zianzie nyumbani Kwa sababu hawakuwa na pesa za kutosha kuzunguka mkoa
labda umesahau au mahaba yako Kwa timu yamekutia upofu, yanga hawakupoteza hata mechi Moja nyumbani. Walipoanza kwenda mkoani ndio wakaanza kupoteza na timu ya kwanza kuifunga ni stand united. Zahera alikuwa muwazi Hali ya Yanga kipesa ilikuwa mbaya ndio akalalamika.Hilo la kuiomba TFF ni uzushi.
Yanga (Mwingi Zahera) walilalamika kupangiwa mechi za away kama nne hivi zile za awali kabisa wakati Simba wamepangiwa kuanzia nyumbani, na kuona hiyo ni hujuma kwao na upendeleo kwa mpinzani wake wa jadi.
TFF wakafanya kama kuisukumia ili kuikomoa kwa kuipangia mechi za home mfululizo wakiamini kwenye mzunguko wa pili itapuyanga kwa sababu itakua inacheza away mfululizo.
Walipoona mambo yanakwenda kinyume na matarajio wakaanza figisu mpya.
labda umesahau au mahaba yako Kwa timu yamekutia upofu, yanga hawakupoteza hata mechi Moja nyumbani. Walipoanza kwenda mkoani ndio wakaanza kupoteza na timu ya kwanza kuifunga ni stand united. Zahera alikuwa muwazi Hali ya Yanga kipesa ilikuwa mbaya ndio akalalamika.
Mbona kama unaweweseka? Au una hofu na mechi ya kesho? Jiandae tu kisaikolojia. Kesho mtapiga sana makelele humu ya kwa nini Phiri hajaanza! Kwa nini Baleke kaanza!! Nk.Kuna rafiki yangu alikuwa anamiliki gazeti la michezo wakati fulani. Rafiki yangu huyu alinipa Siri ni Kwa vyombo vya habari huwa vinaipaisha sana Yanga.
Alisema kuwa mashabiki Wa Simba si wanunuzi Wa habari za michezo kuliko mashabiki wa Yanga.
Kwa maelezo yake ni kwamba siku Yanga ikishinda mauzo ya habari za Yanga huwa Juu kuliko Simba ikishinda.
Kwa Ivo Yanga ni lazima isifiwe Kwa Kila njia Ili watu wafanye biashara.
Acha makasiriko wewe!!Mbona kama unaweweseka? Au una hofu na mechi ya kesho? Jiandae tu kisaikolojia. Kesho mtapiga sana makelele humu ya kwa nini Phiri hajaanza! Kwa nini Baleke kaanza!! Nk.
Kila timu ina malengo yake;Hiyo ni kabla ya digital platforms we mbweha!..2005/6 kiingilio game za Simba ilikua buku jero wakati yanga buku 3