Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

dk 35 Mayele 0
 
Fei
Aucho
Bangala
Juma Shaban
Aziz Kii

Mayeleeeeeeeee
 
Kibwana
Kibwana

Anarusha

Morison

Wakurusha tena

Aucho
 
Yanga tuna stahili kubaki hapa hapa bongo. Kimataifa kuna safari ndefu sana kuifikia japo mashabiki wake tumejawa midomo ya kuona kama kazi rahisi tu kisa jirani kaweza.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
I pity you guy I really do, japo kuna Yanga wachache ambao wanaweza ku appreciate uwezo wa Simba kama wewe
 
Kwa namna yanga sc wanavyocheza na wapo nyumbani, tusubirie ile aibu iliyompata kipanga.
 
Iwe mvua iwe jua

😝😝😝😝😝😝😝

Get involved!!
 
Utopolo mmemuhonga pesa refa.... Yaani club africain wananyimwa penalty waziwazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…