Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Katika hiyo list kocha hayupo kwasababu yeye hatahitaji msimu, ji mechi hizi hizi mbili ndio zitakazoamua kubaki au kusepa
 
Kwa uchezaji huu Yanga Goli wanalipata vipi?? Wachezaji hawana Indesity hawana Fighting Wapo wapo tu.
 
Ha.. ha.. ha.. mabingwa wa historia na unbitten.
Watabaki na slogani tu.
Timu ya wananchi.

Yanga hamna ubavu wa kuitoa hiyo timu.

Waina Lillahi waina Ilahi rajuun wajada.
 
Nina uhakika kule kwao uhakika wa kupigwa goli 5 upo kabisa, sasa acha washindwe kutumia hizi figisu zao halafu wasubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Oya Yanga na Kipanga matokeo yao yalikuwaje kwenye ile mechi ya kirafiki?

Mimi sikuangalia mechi ya Kipanga na hawa Club Africain ila naimani walicheza vizuri kuliko Yanga
 
Simba imepandisha mchezaji yupi kutoka timu ya vijana?

Hawa kina Onyañgo ndio vijana?
 
Oya Yanga na Kipanga matokeo yao yalikuwaje kwenye ile mechi ya kirafiki?

Mimi sikuangalia mechi ya Kipanga na hawa Club Africain ila naimani walicheza vizuri kuliko Yanga
Sikumbuki kama Yanga Sc amecheza mechi yoyote ile na Kipanga, ninachoju mimi ni Simba Sc ndio alicheza nao mechi ya kirafiki kule Zanzibar na kama sijakosea nadhani tulitoka suluhu.

Kipanga alicheza vizuri sana pale Zenji kiasi cha kuwalazimisha waarabu wapaki bus.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…