ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Endelea kujifarjiRound ya kwanza kila msimu nyie huwa mabingwa, round ya pili ndio ya Simba SC, hapo najua mmeshaanza kutetemeka hizo pointi nane mna bahati imebaki game moja round iishe, kama vp tungezifuta pointi zote round hii ya kwanza.
Jidanganye tu Mkuu.Kaa kwa kutulia.nafasi uliyonayo umekaimishwa tu kwa muda.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mshindwe kwenu taifa ndio mtufunge MbeyaMtafungwa nyumbani kwenu.
Siamini. 😅 Mmefikia hatua sare ya Yanga inakuwa faraja kwa nguffu moja. Lol.Nabi hatufai bora afukuzwe tu, kwanini hajampanga Aucho na Mayele, ona sasa tumedondosha point 2.
mbona mnafurahi matokeo ya upende wetu? wacha na sisi tufurahie yenu.Siamini. 😅 Mmefikia hatua sare ya Yanga inakuwa faraja kwa nguffu moja. Lol.
Haya bana Mkuu.mbona mnafurahi matokeo ya upende wetu? wacha na sisi tufurahie yenu.
Ngoja tuonyeshane makaliNaona ushawadia aisee.
Hii game inaisha Yanga 2 Mbeya City 0. 😎😎
Nawahurumia round ya pili mtakuwa wa makasiriko sana, jf waondoe madirisha ya vioo mapema waweke ya mbao tu maana jamaa zangu mtarusha sana mawe...Endelea kujifarji
Hujui makambo mzee wa kuwajazaUjue nabi anazingua sana, yani anamuweka bench mayele na kumuingiza makambo kweli na anataka kutuamunisha kua yupo seriou?
hahah kuna msemo unasema 'baada ya dhiki faraja'Siamini. 😅 Mmefikia hatua sare ya Yanga inakuwa faraja kwa nguffu moja. Lol.
Kiboga aliliwa Simba kule Mbeya na Kagera hadi mharoYanga yaliwa kiboga Lupaso
Ujue nabi anazingua sana, yani anamuweka bench mayele na kumuingiza makambo kweli na anataka kutuamunisha kua yupo seriou?
Kwa hiyo unataka kuwapangia watu namna ya kufurahi? Pengine wanashingilia baada ya mechi kuisha salama bila majeruhi., au furaha kwao uanzia wakipata point 1 na na kuendeleà.Unaweza kuelezea sababu za wao kushangilia?
Mbeya city tunajambo letu leo