Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Hapana labda kwa rekodi zingine zilizopita ila leo kawa bora sana pale golini
Shida inakuja pale game inapokuww ngumu zaidi kwa Yanga, huku muda ukijongea utaona maajabu yaani ni kama siku ile Metacha wakati wakicheza Yanga na Polisi
 
Mliopo karibu na Azam tv wambieni wapunguze matangazo baada half time ili tupate muda wa kutosha wa kusikiliza uchambuzi wa akina Ali Kamwe
Yani na tangazo lao la wembe wa blue sodz linavyorudiwa rudiwa mara kumi kumi ni kama wamejihakikishia kwamba asilimia kubwa ya wateja wao hawanyoi mavuzi
 
Shida inakuja pale game inapokuww ngumu zaidi kwa Yanga, huku muda ukijongea utaona maajabu yaani ni kama siku ile Metacha wakati wakicheza Yanga na Polisi
aOk kwa hapo kweli huyu jamaa ameluwa mtu wa kuoenda vi show off vinavyoweza kuzaa uzembe

Mara adake mpira halafu aruke na kasarakasi kakuzugia, aah huyu akifakisha atabeba lawama nyingi leo kwasababu wachezaji wa ndani wengi wameonesha juhudi zao na kuheshimu mechi
 
Mpira umeanza na mbeya city wakifanya shambulizi la kwanza mapema tu na mpira umrokolewa kwenye eneo la hatari
 
Aucho kachezewa foul na imetolewa kadi ya njano kwa mchezaji wa mbeya city na kufanya card za njano mpaka muda huu ziwe mbili, yanga inakadi moja ya njano na mbeya city kadi moja ya njano
 
Feisal ameingia kuchukua nafasi ya david bryson
 
Dio mbali kutoka golini ebu tuone na mpigaji saidoo


saidoooooo cheza munishi na kutoa mpira nje na kuwa kona
 
Hahaha bakari kapiga shuti kama alilopiga mugalu juzi, yani kapaisha kimo cha ndege
 
Back
Top Bottom