Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Shida inakuja pale game inapokuww ngumu zaidi kwa Yanga, huku muda ukijongea utaona maajabu yaani ni kama siku ile Metacha wakati wakicheza Yanga na PolisiHapana labda kwa rekodi zingine zilizopita ila leo kawa bora sana pale golini