Kwa mara ya kwanza aliyepanga hizo odds anaenda kubeba lawama kwa kufilisi kampuni kwa kufanya mzaha na pesa za kampuniWadau wamempa Utopolo 2.30 droo ni 2.70 na Simba 3.25.
Ina maana Yanga ni favourite.
Nimecheka kwa nguvu. Lol.
Hapana hufai kuwa uto😅😅😜Mie mwenyewe sikudhania kama na wewe mdogo wangu uko Makolo eti. 🤣🤣🤣
Yanii wanakelele na uwanja wameshindwa kujazaAll the best Simba SC , shinda unyamazishe Utopolo maana wanaongea sana sana!!!!
Hilo 1 wanalipatia wapi?SIMBA 2 yanga 1View attachment 2206297
Ni ngumu kivuli kutoa sautiAll the best Simba SC , shinda unyamazishe Utopolo maana wanaongea sana sana!!!!
Sasa hivi. Bado dakika 5 tuu saa 11 kamili pale LupasoMechi saa ngapi jamani?
Maana Paka Wamepotea Mtaani [emoji23]Tunaaibika. [emoji28][emoji28][emoji28]
#Nguffmoy