makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Maneno ya kishabiki haya mzee..Kuna kutoa sare, na kwa mechi kama hizi mara nyingi huishia kwenye sare.
Wamecheza zaidi mpira wa malengo lakini shida ni mtegemewaji wa ufungaji watu walishamlia yamini kuwa hakuna kufunga nayeye kaisha ingia uoga na mguu wake kuwa inaweza mechi ya leo ikamweka nje msimu mzima. Amekuwa muoga wa kujitolea muhanga kwenye matukio ya 50 kwa 50Kipindi hiki cha kwanza yanga anastahili/alistahili kufunga
Tutafutane bana Pacha.Nipo nakuona Kwa mbali pacha
Wamejua kujikaza aisee.
Yani ata ikitokea akaafunga bado kwangu nimesha conclude kua hamna striker humu, Morrison hatakiwi kurudi uwanjani,Sacko kama kawaida yake mbwembwe nyingi bila madhara yoyote.bora hata wacheze akina Mhilu.Second half mugalu atupishe
Sawa pacha, tusubiri kipindi cha pili Simba anapigwa kitu kizitoTutafutane bana Pacha.
Na wa Yanga?Ushindi wa simba ni kumzuia Mayele asifunge
Tujue kwanza hapo hao wakimataifa waliopo leo wamechajiwa au hawakuchajia?Hii mechi ndio kipimo kwa utopolo kucheza mechi za Caf mwakani. Wanacheza na wa kimataifa.
Subiri utauonaNa wa Yanga?
Eewaaa!!Sawa pacha, tusubiri kipindi cha pili Simba anapigwa kitu kizito
Tupo mapumzikoSubiri utauona
Sijui anakosa vipi confidence maana anatumia nguvu kubwa kufika na mipkra langoni lakini akifika kwenye 18 ana freeze.Wamecheza zaidi mpira wa malengo lakini shida ni mtegemewaji wa ufungaji watu walishamlia yamini kuwa hakuna kufunga nayeye kaisha ingia uoga na mguu wake kuwa inaweza mechi ya leo ikamweka nje msimu mzima. Amekuwa muoga wa kujitolea muhanga kwenye matukio ya 50 kwa 50