makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Maneno ya kishabiki haya mzee..Kuna kutoa sare, na kwa mechi kama hizi mara nyingi huishia kwenye sare.
Tuendelee na ushabiki..
Sare inategemea na kipande walichokata, kama wamekata mita 3 hazitoshi kwa sare[emoji1787]