Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Nimecheka hiyo NB eti Watatetema au Watatetemeka.

Waendelee tu na mitetemeko yao. 😅
 
Eeh kumbe mbungi linapigwa usiku wa manene mchana ni kumalizia tu
 
Huu utabiri ilitakiwa uugeuze iwe pesa, weka mkeka kabisa. Kama details zote ulizotaja hapa ni za uhakika kama unavyosema, nakuona ukiwa umejaa vibunda baada ya mechi.
 
Vipi hakuna aliyeenda kwa Mkapa usiku kuipigania Simba?
 
vyovyote itakavyokuwa, Mayele hatofunga wala kutetema!!

Yanga 1-2 Simba

Namuona Chama akiingia kambani huku Kapombe akitakata mechi hiyo!

Ila red card itawaathiri sana Yanga!

Simba...Nguvu Moja
Kuna penalty kwa Morrison..Utaniambia baadaye..!
 
Kila la heri chama langu toka utotoni naamini hamtaniangusha simba ,lazima yanga akalishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…