Kikubwa mjue kuwa hamna team.Yaaah tulikuwa wabovu sana Leo na hatukucheza vizuri Ila Simba wamecheza vzr ndo maana wameshinda mchezo wa Leo
Tulipanga unbeaten iendelee mpk tuchukue ligi ila imetokea bahati mbaya tumepoteza mchezo wa leo
Yaah sisi ni wabovu mbele ya simba.... Hilo tumekubaliMuwe mbele muwe nyuma we dont care ila nyie ni wabovuu mbele ya Simba
Wenye Akili huko Hawajaongezeka...! Ni Wawili tu... Kwa Mujibu Wa Manara hata wewe Hamnazo..! Na aliwataja ..mi mjumbe tu ila Nakumbusha tu Maneno Ya Msukule.Zawadi ya Milioni Kumi! kwa atakae onesha msimano wa ligi kuu Simba akiwa anaongoza ligi
"Ntatoa Shilingi Milioni kumi kama zawadi kwa yeyote yule atakayefanikisha kunitumia msimamo wa ligi, kama msimu huu Makolo walishawahi kukaa kileleni
"Naruhusu hata kama unao msimamo wa ligi wa uongo,, Yaani hata wa kutunga kichupli ntatoa Ten Milion 🤪🤪"
"Au kama vipi atakaeweza kuugeuza msimamo juu chini, chini juu, Ten ipo palepale kama keshawahi kuishi huko kileleni japo kwa sekunde moja tu msimu huu 🤪🤪"
Yaaah sisi tumekubali hatuna timu na hilo limeonekana Leo baada ya Yanga kupoteza game ya Leo na simba kushinda na kuondoka kwa Furaha uwanjaniKikubwa mjue kuwa hamna team.
Kuhusu swala la unbeaten bado sio kitu cha kuhakikisha maana hata Simba kuna msimu alikuja kutobolewa game ya mwisho.
Itakua alibahatisha mkuu.Ila kumbukumbu zinaonyesha aliwahi kutetema
Kwakuwa hatuna akili na ndio maana tumepoteza mchezo wa Leo na nyie wenye akili kushinda mchezo wa LeoWenye Akili huko Hawajaongezeka...! Ni Wawili tu... Kwa Mujibu Wa Manara hata wewe Hamnazo..! mi mjumbe tu ila Nakumbusha tu Maneno Ya Msukule.
Ubovu wenu na uchakavu wenu upo kwa simbaaai ila huko kwingine nyie endeleeni kuwatetemeshaYaaah sisi tumekubali hatuna timu na hilo limeonekana Leo baada ya Yanga kupoteza game ya Leo na simba kushinda na kuondoka kwa Furaha uwanjani
tupe misimamo ya misimu minne iliopita hapa nakutumia vocha ya buku 10Zawadi ya Milioni Kumi! kwa atakae onesha msimano wa ligi kuu Simba akiwa anaongoza ligi
"Ntatoa Shilingi Milioni kumi kama zawadi kwa yeyote yule atakayefanikisha kunitumia msimamo wa ligi, kama msimu huu Makolo walishawahi kukaa kileleni
"Naruhusu hata kama unao msimamo wa ligi wa uongo,, Yaani hata wa kutunga kichupli ntatoa Ten Milion 🤪🤪"
"Au kama vipi atakaeweza kuugeuza msimamo juu chini, chini juu, Ten ipo palepale kama keshawahi kuishi huko kileleni japo kwa sekunde moja tu msimu huu 🤪🤪"
Yani nakuhurumia walaaaai huna hoja hahaaaa msiwe na maneno mengi muwe watulivu. Sisi hatuna hofu wenye hofu na mashaka ni nyie kombe hili ni kama dhahabu kwenu mlihitaji mpigane kiume muifunge simba yenye kikosi kibovu na wazee. Hahaaaa daah TopoloooKwakuwa hatuna akili na ndio maana tumepoteza mchezo wa Leo na nyie wenye akili kushinda mchezo wa Leo
Hongereni sana
Tikisa kichwa mkuu😂😂😂😂Yaaah sisi tumekubali hatuna timu na hilo limeonekana Leo baada ya Yanga kupoteza game ya Leo na simba kushinda na kuondoka kwa Furaha uwanjani
Yaaah ni kweli kabisa kwa simba hii Imara kabisa na sisi tulivyo wabovu.....Ni halali tumepoteza mchezo wa LeoUbovu wenu na uchakavu wenu upo kwa simbaaai ila huko kwingine nyie endeleeni kuwatetemesha
Kushinda kwako ni ww kwa jinsi unavyoangalia halafu hizi takwimu zenu mnabase kwny ligi kuu hizo nyingine mnazochachafyagwa huo mnakua sio yanga?Yaah sisi ni wabovu mbele ya simba.... Hilo tumekubali
Mara ya mwisho klabu ya Yanga kupoteza mchezo ligi kuu dhidi ya Simba SC ilikuwa February 18 mwaka (2019)
.
.
Miaka mitatu sasa imepita rasmi bila Simba kushinda dhidi ya Yanga SC.
▪️2018 - 19 = Simba 1 - 0 Yanga
▪️2019 - 20 = Simba 2 - 2 Yanga
▪️2019 - 20 = Yanga 1 - 0 Simba
▪️2020 - 21 = Yanga 1 - 1 Simba
▪️2020 - 21 = Simba 0 - 1 Yanga
▪️2021 - 22 = Simba 0 - 0 Yanga
▪️2021 - 22 = Yanga 0 - 0 Simba
Huyo Fala Kaze Uwezo Wake Mdogo.Yanga Walijidanganya Kwa Maoni Ya Wachambuzi 'Takataka' (Kwa Mujibu wa Manara) Walisema mnyama Kashuka .....Sasa Pumzi Ya Joto wameivuta...
Kaze mwenyewe Kwenye Mahojiano Amekiri..!
Aisee unanichanganya sana hii Simba INA kikosi kibovu na wazee au simba ni nzuri na Imara sanaYani nakuhurumia walaaaai huna hoja hahaaaa msiwe na maneno mengi muwe watulivu. Sisi hatuna hofu wenye hofu na mashaka ni nyie kombe hili ni kama dhahabu kwenu mlihitaji mpigane kiume muifunge simba yenye kikosi kibovu na wazee. Hahaaaa daah Topolooo
Yaaah kwenye ligi sisi ni Invincible kabisa ila Kimataifa huko tunajipanga tukawe Invincible piaKushinda kwako ni ww kwa jinsi unavyoangalia halafu hizi takwimu zenu mnabase kwny ligi kuu hizo nyingine mnazochachafyagwa huo mnakua sio yanga?
Yaah lazima tutikise vichwa Mzee baada ya kupoteza mchezo wa leoTikisa kichwa mkuu😂😂😂😂
Msimamo wa ligi upoje mpaka sasa baada ya mechi ya leo?