Na wameenda finale baada ya kushindaLeo Simba wamecheza semi final ya CAF confederation 🤝🏼👍🏼✋🏽
bila kumsahau captain boko asiye na goli kwenye ligi... ndio maana ccm itatawala milele hii nchi ya wagigoko.. mijitu mijinga sanaUkubwa na ubora wa Fiston Mayele unedhihilika leo, watu hawajadili kwa nini Mugalu kacheza mechi (11) hana bao hata moja.
Hawajadili kwa nini Sakho, Chama na wengine walipoteana.
Hawajadili kwa nini Simba haijashinda ligi kuu dhidi ya Yanga kwa miaka (03)
Mjadala na shangwe ni MAYELE KUTOFUNGA BAO leo dhidi ya Simba 🙌
Hiyo inatosha kuonesha ni jinsi gani Mayele anavyoogopwa na timu pinzani kiasi kwamba kutofunga kwake bao inatafsirika kuwa si jambo la kawaida 🙌
Mayele ni G.O.A.TUkubwa na ubora wa Fiston Mayele unedhihilika leo, watu hawajadili kwa nini Mugalu kacheza mechi (11) hana bao hata moja.
Hawajadili kwa nini Sakho, Chama na wengine walipoteana.
Hawajadili kwa nini Simba haijashinda ligi kuu dhidi ya Yanga kwa miaka (03)
Mjadala na shangwe ni MAYELE KUTOFUNGA BAO leo dhidi ya Simba 🙌
Hiyo inatosha kuonesha ni jinsi gani Mayele anavyoogopwa na timu pinzani kiasi kwamba kutofunga kwake bao inatafsirika kuwa si jambo la kawaida 🙌
Kunywa maji mengi ndugu unakaribia kuzimia.Yaaah ni kweli kabisa kwa simba hii Imara kabisa na sisi tulivyo wabovu.....Ni halali tumepoteza mchezo wa Leo
Hongereni sana Simba SC
Nguvu Moya
Maneno ya kujifarijiBaada ya draw ya leo, Simba anaongoza ligi
KWELI MAYELE NDIO KIPIMO CHA UBORA WA MABEKI KATIKA LIGI YA TANZANIA. FURAHA WALIYONAYO WANA MSIMBAZI INATHIBITISHA KUWA AMEWATESA SANA KIFIKRA NA KIHISIA KABLA YA MCHEZO HUU. PERFORMANCE YA MAYELE IMEGEUKA KUWA GAIDI WA MIOYO YA WANAMSIMBAZIbila kumsahau captain boko asiye na goli kwenye ligi... ndio maana ccm itatawala milele hii nchi ya wagigoko.. mijitu mijinga sana
Michongo hiyo acha ujinga,Yanga ni kikundi cha wahuni 😜😜🤣🤣View attachment 2206470
Wenye point 13 zaidi yenu wanajifariji kileleniManeno ya kujifariji
Yaah nakaribia kuzimia kabisa hasa baada ya kupoteza mechi ya leoKunywa maji mengi ndugu unakaribia kuzimia.
Kabisa amekuwa Talk of the townMayele ni G.O.A.T
Hii draw ya Leo Simba ameshinda mzeeBaada ya draw ya leo, Simba anaongoza ligi
Ushindi wa kishindo kwa makoloHii draw ya Leo Simba ameshinda mzee
Wamepaki bus wakatoa draw na gap la point 13 lipo pale pale, je kuna hasara hapo?Utopolo Kweli nyie ndo Wakuja Kwa Mkapa Kupaki basi namna ile..? Leo Mmeshangaza Sana.