Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Mkuu nawepata link ya kucheki hii game ?
 
Bado dakika 20 tuone kazi ya Mwamyeto na Mugalu. Mayele na Inonga.
 
Kipindi Cha Kwanza Yung Africans wataongoza kwa bao moja au zaidina litadumu au yatadumu kwa kipindi Cha kwanza,Simba watarudisha kwa kipindi Cha pili, hivyo matokeo sahihi yatakuwa droo ya eidha kufungana 1-1 ,au 2-2
 
Ramli zishaanza[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…