Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Moja kati ya derby iliyopoa hovyo kabisa, ngoja tupoteze muda tu.
 
Bado nyavu tu kutikisika ndicho kilichobakia boli kama boli linapigwa
 
Enonga kaja kuwaonesha kuwa alistahili kumsindikiza mayele siku ile
 
Tukiachana na swala la ushabiki na utani wa jadi, INONGA ni beki.

Sijui kwanini kwa miaka ya hivi karibuni tumeshindwa kuzalisha mabeki wa kati wazawa ambao ni makini kama huyu.
 
Ila pass za kanoute zakichonganishi sana
 
Ila Morrison bangi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom