Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Kwa mara ya kwanza aliyepanga hizo odds anaenda kubeba lawama kwa kufilisi kampuni kwa kufanya mzaha na pesa za kampuni
Unadhani huwa hawafanyi utafiti?

Washajua Simba kumfunga Yanga kwenye ligi ni historia.
 
Hmmh, mmegeuka tena? Sio nyinyi mliokuwa mnatamba kuwa mtaichakaza Simba Sc na Mayele atatetema?

Kuna derby ambayo Simba Sc ilikuwa imekaa kimya kama hii?

Kubalini tu kuwa hamna team ya maana kama ambavyo mmekuwa mkiikuza. Sajilini, laasivyo mtatoka mapema tena kama mwaka jana maana sioni team ya kimashindano hapo.

Sisi tunayajua madhaifu yetu na tutarudi kivingine.
Manyau nyau meusi yakatize uwanjani ndipo mshinde [emoji848][emoji1787]

Tuliwaambia muwe na akiba za maneno mkagoma, mara oooh ukimya wake MAKOLO atashinda mechi ya leo maana si kawaida MAKOLOKOLO kukaa kimya kabla ya mechi bila kuimba taarabu.

MAKOLOKOLO HOYEEEEEEE [emoji16]
 
Timu Ya Mechi Za Kimataifa Pale Yanga Hakuna.....Ila Mechi Zetu hizi Za Mchongo Mchongo..za Marefa mara penati Wanapeta Mara Wanaua Shambulizi kwa Kunyoosha Kibendera cha Kuotea.

Leo Utopolo Mmepata pumzi Ya joto La Kimataifa....!
Una ugonjwa wa kusahau team ipi inaeongoza kwa penalty na red cards kwa opponents
 
Nyinyi mnayo safari ndefu? Na kama utasema mnayo ndefu, mmeianza lini hiyo safari?

Uto mnavyoongea utafikiri mmekuwa mkisumbua kwa miaka kadhaa, kumbe ndo mmeanza baada ya muda murefu.

'ndo mmeanza' - hiyo kauli inatosheleza kujieleza.

We endelea kubaki huko kwenye huo muda mrefu ulopita.

Unbeaten track is moving on.
 
Back
Top Bottom