Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kwahiyo mlijua mtashinda ngapi? Maana wewe ndo ulikuwa mpiga filimbi humu.Hakuna Mimi Nakwambia Yale Ni Mawazo Ya Kaze Amini Usiamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mlijua mtashinda ngapi? Maana wewe ndo ulikuwa mpiga filimbi humu.Hakuna Mimi Nakwambia Yale Ni Mawazo Ya Kaze Amini Usiamini.
Labda Mahakama tu. 🤣🤣🤣Sasa sisi YANGA tutafungwa na nani katika ligi?
Kila mtu kazi inamshinda... [emoji1]
Ndio furaha yenuHahahaa. Kuna muda alizingirwa na kama mtu tano hivi. Lol
Na nyie kupiga kwenye mshono hamjapaona Leo?Zila HASIRA zitakazomaliziwa kwa Yanga zilienda wapi?
Alicheza Chama tu humo.Amna bana mayele hakucheza
Kinachoongoza ligi bila kufungwa.Yanga ni kikundi cha wahuni [emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787]View attachment 2206470
Sawa sawa.Options ni mbili tu.
1.Simba kushinda
2.yanga kufungwa
Mimi nikajua mtajadili uwepo wa mgalu uwanjani? Kumbe mlitaka awatie kijitii Tena 😀Amna bana mayele hakucheza
Uchawi leo umegoma.SIMBA 2 yanga 1View attachment 2206297
Unadhani huwa hawafanyi utafiti?Kwa mara ya kwanza aliyepanga hizo odds anaenda kubeba lawama kwa kufilisi kampuni kwa kufanya mzaha na pesa za kampuni
Naona ndo umepata nguvu ya kureply now. 🤣🤣🤣Ndio furaha yenu
Za Kibu?Mlishakula nyingi enzi za Nyerere, Mwinyi,Mkapa,Kikwete na JPM. Leo ni zamu ya Samia kupokea nyingi
Mkuu usitusahau kwenye ule uzi wako wa Kibu vs Mayele.Tulia wewe Topolo acha kulialia,wewe ni msemaji wa Azam?
Manyau nyau meusi yakatize uwanjani ndipo mshinde [emoji848][emoji1787]Hmmh, mmegeuka tena? Sio nyinyi mliokuwa mnatamba kuwa mtaichakaza Simba Sc na Mayele atatetema?
Kuna derby ambayo Simba Sc ilikuwa imekaa kimya kama hii?
Kubalini tu kuwa hamna team ya maana kama ambavyo mmekuwa mkiikuza. Sajilini, laasivyo mtatoka mapema tena kama mwaka jana maana sioni team ya kimashindano hapo.
Sisi tunayajua madhaifu yetu na tutarudi kivingine.
Hiyo Timu ya kumfunga Yanga anayo?Hii mechi simba anashinda goli moja biashara basi
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Una ugonjwa wa kusahau team ipi inaeongoza kwa penalty na red cards kwa opponentsTimu Ya Mechi Za Kimataifa Pale Yanga Hakuna.....Ila Mechi Zetu hizi Za Mchongo Mchongo..za Marefa mara penati Wanapeta Mara Wanaua Shambulizi kwa Kunyoosha Kibendera cha Kuotea.
Leo Utopolo Mmepata pumzi Ya joto La Kimataifa....!
Nyinyi mnayo safari ndefu? Na kama utasema mnayo ndefu, mmeianza lini hiyo safari?
Uto mnavyoongea utafikiri mmekuwa mkisumbua kwa miaka kadhaa, kumbe ndo mmeanza baada ya muda murefu.