Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Dakika ya 94'

Juma shabani anacheza foul na mpira unapigwa freekick kuelekea yanga
 
Zikiwa zimebaki sekunde mpira uishe ngoja tuone freekick
 
Leo bahasha za ghalib zimeshindwa kufanya kazi 😂
 
Diara hahahaha yani anataka kufanya haraka haraka arush.e mpira ili kukimbizana na muda matokeo yake anajikuta anautoa mpira wenyewe na kuwapa faida prisons
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…