Tatu kwa pira bovu mnalocheza, nimeamini ushindi wa Yanga ni wamchongoAcha kabisa. Ilitakiwa na sisi tuwapige walau hata bao 3 prisons na hapo ndo ingekuwa afadhali.
Ila mpaka sasa. [emoji848][emoji848] hata sielewi aisee.
Nje ndani itawahusu hakikaMAKOLOKOLO msioaibisha Taifa mlifanya nini hasa zaidi ya kuzurura tu miaka minne yote klabu bingwa na kurudi home kubwatabwata kama waimba singeli [emoji848][emoji38]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Haters wengi walitamani kuiona Yanga akifungwa lakini waliyotaka hayajawaCha muhimu bado Yanga hatujafungwa, tumelinda heshima yetu...πππ
Scars Shadeeya Ghazwat Bill ukikaidi utapigwa2 Root OKW BOBAN SUNZU Tate Mkuu
park don
Mganga wao panya road yupo ndani polisiMayele kutotetema mfululizo, je ilikuwa ni moto wa mabua?
πππHaters wengi walitamani kuiona Yanga akifungwa lakini waliyotaka hayajawa
Dua la kuku [emoji2960][emoji56]Nje ndani itawahusu hakika
Elimu elimu elimu.Bora Makolo wanabwata sauti yao inafika mbali huko duniani. Utopolo wao wanabwata sauti yao inaishia Buza[emoji28]
punguza hasira,sisi hatukupaisha penatiDah sasa mkuu unawatag wote hao wa kazi gani? Dah
Atapoteza mbeya city, coastal, dodoma fc na biashara. Sare kwa mtibwa na polisi na atashinda zilizobaki.Hapa kuna mechi japo moja lazima Yanga atapigwa tu.View attachment 2218315
Kazi ya mwanasaikolojia ndiyo inapaswa ichukue nafasi yake hapo.Ila mchizi hayuko poa mentality, we mcheki tu anapoanza kupiga mpira observe body language utaona kwamba mchizi ana mengi yanayomtatiza
ππππππZa ndani ndani kabisa ni kwamba Nabi ana personal conflict na Mayele na ndio maana hajapangwa kwenye kikosi cha leo
Pili pili usiyoila inakuwashia nini [emoji848][emoji6]Ni mwendo wa kujifariji
Mbona kama vile Yanga ubingwa haupoHapa kuna mechi japo moja lazima Yanga atapigwa tu.View attachment 2218315
Ukiwa na imani hana, unaweza sema MAYELE alisharogwaMwanzo mbaya kwa mayele haukuwa kwenye penati tu, kuna ile nafasi ya wazi sijui alipata ganzi gani pale mpaka akashindwa kufunga
Au tembele home halija chemka nini?Kazi ya mwanasaikolojia ndiyo inapaswa ichukue nafasi yake hapo.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app