mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Ila makolo walikusaidia kupanda ndege japo uliaibisha taifa kwa kubemendwa nje ndaniMAKOLOKOLO msioaibisha Taifa mlifanya nini hasa zaidi ya kuzurura tu miaka minne yote klabu bingwa na kurudi home kubwatabwata kama waimba singeli [emoji848][emoji38]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Watakuwa wanawakilisha nchi. Tuwashike mkono kwani wana uzoefu wa kutosha walioupata miaka hii minne Simba akishiriki.Elimu elimu elimu.
Kinachopambaniwa ni kombe la klabu bingwa wala si kuwa wasindikizaji bora [emoji2]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Nimekuita? Mke wa mudi?punguza hasira,sisi hatukupaisha penati
watu wamefungia ile miguu kwenye chungu.Ukiwa na imani hana, unaweza sema MAYELE alisharogwa
Ng'ombe yenyewe in TB ndio maana mayele anawaza.Chanzo cha mgogoro ni kwamba Nabi anataka share kwenye ile ng'ombe akilaumu kwanini mwalimu aliyesababisha Mayele kujulikana hajapewa chochote kama heshima
Hizo ni za ndani kabisa
Hapa itakuwa tembo kupenya tundu la Sindano 😂. Japo miujiza ipo. Hapo unachukulia Simba anashinda zote.😂Simba ndio mabingwa msimu huu wa 2021/22
Haya ndio matokeo mechi zijazo. Lazima akimbie.Shadeeya umeanza lini tabia ya kukimbia uzi
YametimiaDraw nyingine kwetu wananchi
Nitabilie na mimiHaya ndio matokeo mechi zijazo. Lazima akimbie.
Yanga atapoteza mbeya city, coastal, dodoma fc na biashara. Sare kwa mtibwa na polisi na atashinda zilizobaki.
Simba ndio mabingwa msimu huu wa 2021/22.
Nguvu moja.
Ndio kiwango chakeUkiwa na imani hana, unaweza sema MAYELE alisharogwa
Wanaipigisha na fegi nini?Ng'ombe yenyewe in TB ndio maana mayele anawaza.
Wewe ni timu ili utabiriwe?Nitabilie na mimi
Labda utoe "j" uweke "r"Hujuma!