OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kila la kheri Timu ya Wananchi. Kikubwa Points tatu mpaka tugande kule juu.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Atayeokota ule mpira unakuwa wa kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kila la kheri Timu ya Wananchi. Kikubwa Points tatu mpaka tugande kule juu.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
HakikaYanga anashinda hii mechi.
kwenda...kwenda wapi?!Twende kazi wananchi.....💪
Tuko pamoja nanyi daima na milele🤝
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mayele! Khushosheng'ombe yane! Alisikika uto mmoja akiongea kwa hasira baada ya mpira alopiga mayele kutua juu ya paa lake usiku akiwa amelala.
Atapoteza mbeya city, coastal, dodoma fc na biashara. Sare kwa mtibwa na polisi na atashinda zilizobaki.
Simba ndio mabingwa msimu huu wa 2021/22.
Nguvu moja.
Duh!..mbona mnajiamini kiasi hiki?Mbona kama vile Yanga ubingwa haupo
Kwasababu timu yako ni tiamaji tiamaji.Duh!..mbona mnajiamini kiasi hiki?
ulivyo draw na police walikataa bahasha si ndio?Sio kwamba yanga hawakupenda kutembeza bahasha,ila hizi timu za taasisi za serikali (JKT na PRISON) hazipokei rushwa.
Endelea kukalili maishaTukumbuke jambo 1 kwamba, Simba Sc miaka yote huwa anampita Yanga baada ya kutoka kwenye mashindano ya kimataifa.
Jumatano Simba akishinda linabaki gap la point 8 huku kila mmoja akibaki na michezo 7.
Michezo 7= 21 points.
Hapo Simba Sc ashinde match zote halafu mengine tutajuana mbele kwa mbele
Alikosea aje ndio mpira hauwezi shinda kila siku wewe ni nani?Simba alikosea sana kutoa droo na Polisi na Namungo. Zile ni droo za kujitakia
Pp yako tu inamaanisha upungufu wa akili zako, ni heri nikupuue tu [emoji1787]Ila makolo walikusaidia kupanda ndege japo uliaibisha taifa kwa kubemendwa nje ndani
Lol. Nia yetu ilikuwa kupata Poits tatu ila tu ndo hivyo hili la kulinda heshima ni mawazo yenu Makolo Fc. 🤣Cha muhimu bado Yanga hatujafungwa, tumelinda heshima yetu...😂😂😂
Scars Shadeeya Ghazwat Bill ukikaidi utapigwa2 Root OKW BOBAN SUNZU Tate Mkuu
park don
Imetua buza huku
,
Weeee!! 🤣🤣Hao ni makolo fc, nataka nione wanavyoteseka
Daah! Ama kweli Adui muombee njaa.Hapa kuna mechi japo moja lazima Yanga atapigwa tu.View attachment 2218315