Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Mayele! Khushosheng'ombe yane! Alisikika uto mmoja akiongea kwa hasira baada ya mpira alopiga mayele kutua juu ya paa lake usiku akiwa amelala.
 
Mayele! Khushosheng'ombe yane! Alisikika uto mmoja akiongea kwa hasira baada ya mpira alopiga mayele kutua juu ya paa lake usiku akiwa amelala.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Tukumbuke jambo 1 kwamba, Simba Sc miaka yote huwa anampita Yanga baada ya kutoka kwenye mashindano ya kimataifa.

Jumatano Simba akishinda linabaki gap la point 8 huku kila mmoja akibaki na michezo 7.

Michezo 7= 21 points.
Hapo Simba Sc ashinde match zote halafu mengine tutajuana mbele kwa mbele
Endelea kukalili maisha
 
Cha muhimu bado Yanga hatujafungwa, tumelinda heshima yetu...😂😂😂
Scars Shadeeya Ghazwat Bill ukikaidi utapigwa2 Root OKW BOBAN SUNZU Tate Mkuu
park don
Lol. Nia yetu ilikuwa kupata Poits tatu ila tu ndo hivyo hili la kulinda heshima ni mawazo yenu Makolo Fc. 🤣
20220510_054530.jpg
 
Back
Top Bottom