denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Eti ndio wanaongoza!.Hivi Yanga ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti ndio wanaongoza!.Hivi Yanga ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi?
Baada ya simba kuzivusha Timu nne CCL, azam wamepata tamaa ya kushiriki. Iwapo yanga atapoteza hii mechi ya leo, atageuka kuwa mshindani wa Azam na sio Simba tena.Hivi Yanga ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi?
Nadhani ametoka Simba huyo, yuko KMC kwa mkopo.Huyu Ilanfya hamna kitu
Wanabebwa sana hawa, ila hapo hutasikia wakilalamika.Subiri refa ateleze kimaamzi aegemee upande wa KMC, uone kelele zao Sasa.Haha siyo faul ile kacheza mpira
Sasa unataka wawe na ndoto nyevu ?Yaani kwa hicho kikosi bado wana ndoto za ubingwa?!
Nafahamu mkuu, anaonekana wa kawaida kabisa, sijawahi kuona kitu special kutoka kwakeNadhani ametoka Simba huyo, yuko KMC kwa mkopo.
kabisa mkuu asibebe mtu Yanga hakuna kitu inafanya humoRefa aache timu yenye uwezo ishinde asiingilie kutoa msaada kwa wasiojiweza.
Ndomaana Vita Club waliamua kuachana na wale wakongo bila hata ya kuwa na mbadala wao, ni magarasa tu.waliokota wapi hawa wachezaji Yanga
Inabidi TFF waangalie timu iliyo serious ndio iwakilishe nchi kimataifa. Timu yenye viongozi na mashabiki wasiojilewa wawekwe pembeni wabakie hapa hapa kwenye mashindano ya ndani tuKMC ndiyo inayoonekana ya kimataifa zaidi kuliko utopolo
Haki ya mungu gongowazi anaenda kulitia aibu caf msimu ujao, hawana pedigree kabisa