Yanga SC 1-1 KMC | VPL | Mkapa Stadium

Yanga SC 1-1 KMC | VPL | Mkapa Stadium

Refa mechi imemshinda kabisa.. Kama anabahatisha kufanya maamuzi si kwa YANGA wala KMC..

Yanga wasilazimishe magoli.. Mpira una njia zake!! Watafute goli kwa mbinu sio kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja uwanjani
 
KMC ndiyo inayoonekana ya kimataifa zaidi kuliko utopolo

Haki ya mungu gongowazi anaenda kulitia aibu caf msimu ujao, hawana pedigree kabisa
Inabidi TFF waangalie timu iliyo serious ndio iwakilishe nchi kimataifa. Timu yenye viongozi na mashabiki wasiojilewa wawekwe pembeni wabakie hapa hapa kwenye mashindano ya ndani tu
 
Hii picha kamwe haitazeeka
117904980_1734341813380231_330381788266846089_n.jpg
 
Back
Top Bottom