Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

Hao Yanga tusha wazoea hua wana ongoza round ya kwanza mwisho wa siku bingwa ni Simba
giphy.gif
 
KABLA...Yanga kwetu ni sawa na muembe wa uani tu tukitaka maembe ni kutingisha tu yanadondoka

BAADA..unajua yanga ni timu kubwa haiwezekani uende kucheza na yanga useme unaenda kufungwa mfano hapo ukipewa milioni kumi uambie ufe utakufa?

Neno moja kwa julio
 
Yule ni kchaa, Kocha/kiongozi hawezi kuwa vile mambo Yale si wanafanyaga wasemaji wa Timu Huwa anajiharibia sana
 
Julio anasema Mayele ni wa kawaida ila ni hatari,..yaani amechanganyikiwa haelewi afanye nini na kama atawagawia makolo point asahau kimataifa na bonus ya Azam.
 
Back
Top Bottom