Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Hapa tunasubiri kumla mnyama basiYanga haizuiliki hahahaaaa
Vipi nyie mmejitoa kwenye hiyo ndondo cup?Wazee wa ndondo cup kwenye ubora wenu.
Hawa jamaa walitolewa kesho sijui watakuwa wamebakiza ngonjera ipiKule south orlando washindwe wenyewe tu
Na mwaka huu hakuna viporo zaidi ya viwiliPoint 3[emoji736]
Mayele kafunga [emoji736]
Tumetetema [emoji736]
Makolo wamenuna [emoji736][emoji1787]
Sisi ndo Yaaaanga [emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji617][emoji617]
Watolewe tu hamna namnaHawa jamaa walitolewa kesho sijui watakuwa wamebakiza ngonjera ipi
Kocha mhamasishajiJulio ni Mhamasishaji aliyejivika joho la ukocha!