Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Sure Boy + Aucho + Feisal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo mtu anapigwa kitu chenye ncha kali. Moja tu.Yanga 2 ✌️
HongeraKuna uwezekano Yanga akamaliza ligi bila kupoteza mechi yoyote, Yanga ndiyo timu pekee ambayo haijapoteza mchezo hata mmoja duniani
Ngoja nimsaidie kutetema 🤺Ah kumbe wewe mwananchi....aisee..ebu tetema basi kama mayele.
Daaah ila we jamaa bwana😄.Mac Alpho Karibu Ushuhudie Nchi Inavyokwenda Kutetema Kwa Goal Safi Za Fiston Kalala Mayele
Sijui yanga tulikwama wapi kusajili hiki kiungo chenye pancha, trip shamba trip garage.Sure Boy + Aucho + Feisal
Mkuu huyu mshambuliaji wetu kuna watu wanamuita kuku wa kienyeji, eti kwasababu anatetema ndani tu huko nje hawiki kabisa.Alaaah! Mayele Amescore Hata Kabla Refa Hajapuliza Kipenga Mpira Kuanza
kama kawa kama dawaYoung Africans 3 Namungo 0
Hawa hata wakikza tutawamaliza kama Geita Gold tu kwenye shirikisho, hatuwezi kukubali kugungwa na Namungo.Hivi Hii Namungo Ndio Timu Ya Kutufunga Kweli? [emoji23]