Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

Da huku mvua kubwa sana imenyesha wajameni nipeni matokeo huko.. Mayele hajafunga bado?
 
Beki wa Namungo Abdumalik aliyefunga plasta nyeupe Mkononi ndiye mwenye Salio la GSM leo. Fuatilia kuanzia goli la Mayele na Ile kosa ya pili utaelewa
Litafungwa bao lingine, tunakusubiri uje na hadithi nyingine.
 
Back
Top Bottom