Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

Beki wa Namungo Abdumalik aliyefunga plasta nyeupe Mkononi ndiye mwenye Salio la GSM leo. Fuatilia kuanzia goli la Mayele na Ile kosa ya pili utaelewa
Sijaangalia mpira ila mambo kama haya najua hayawezi kukosekana

Round ya kwanza ilikuwa refa
 
Beki wa Namungo Abdumalik aliyefunga plasta nyeupe Mkononi ndiye mwenye Salio la GSM leo. Fuatilia kuanzia goli la Mayele na Ile kosa ya pili utaelewa
Acha basi[emoji28][emoji28][emoji28]. Kichuya hajapewa mgao au?
 
Back
Top Bottom