Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

Badala ya watu kuleta updates unajadili umbeya mtupu.
Mechi dakika ya ngapi?
Ngapi ngapi?
 
Sure boy na Farid wako kwenye kiwango Bora sana leo
Farid ni mpuuzi sana . Sehemu ya kupiga krosi anajivuta sana kufanya maamuzi. Anaganda mpaka anarudisha mpira nyuma. Angekua Saido pale angekua tayari na assist
 
Ukiacha hilo, lakini Leo anaupiga mwingi sana.
 
Tuliwa bust
FB_IMG_16507194257372756.jpg
 
Back
Top Bottom