Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

Timu ya nchi inacheza Leo, Taifa lote limetulia hata Makolo kule waliko wanafuatilia mechi Huku wakisubiria kipondo Chao kutoka kwa Maharamia..
Yanga piga hao watoto wa Makolo.
Maharamia piga hizo kolo nasi tuziongezee Huku bongo tar 30
Utooooopooolo
 
Moloko ni mchezaji wa hovyo mechi nyingi anaboronga umuhimu wake ni asilimia chache mno.
Angeingia Ngushi na Dennis Nkane, ingekuwa uhakika. Moloko ameshachoka! Chiko ushindi naye amepunguza kasi ya mashambulizi!

Kiufupi Namungo wamefanya mabadiliko ya maana kuliko sisi.
 
Kama kawaida ya topolos ushindi huwa ni wa mbinde... 1-0, 2-1 wakibahatisha mara moja moja 2-0!!
 
Back
Top Bottom