Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

Msihudhunike sana Kwa Hili pira Papatu papatu la Leo.... ! Kesho kutakuwa na Burdani ya Kufa mtu pira Mapochopocho.
 
Mwamuzi anatakiwa kuwa fair! Hawa wachezaji wa Namungo wanacheza faulo hatarishi. Inavyo onekana wana maelekezo maalum kutoka kwa kocha wao Julio mbwatukaji.
HAKUNA REFA HAPO. Kama hiyo Faulo ya Frank Magingi haistahili kadi ya njano basi hakuna haja ya refa kuwa na kadi.
 
Back
Top Bottom