Leteni lineups na subEndelea mkuu
😁😀umepotea jukwaa ama.
🙌🏻Jaribu kutendea haki Uzi wako mkuu, kuna watu wapo hapa wakitegemea kupata live updates za mechi.
Endelea mkuu tunakutegemea sana sie ambao tupo mbali na tvmtoa mada ana ufala flani hivi wa kukimbilia kuanzisha nyuzi kuhusu mechi alafu anatokomea kusiko julikana, wanayanga pia mnajifanya mpo bize, nimechoka kuandika kwahelini.