Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Alikua anakwenda fiston mayele, anachezewa fault na mlinzi wa Dodoma Jiji. Ni faul na saidoo yupo tayari kupiga
 
Haya kasababisha faulo eneo la nje kidogo kutoka kwenye penalty box tuone hii freekick
 
Saidooooo, chafuuu mlinda mlango alikaa njema sana na kuepusha hatari
 
20’ Yanga Wanapata Kona Baada ya Ntibanzokika kupita Free kick
 
mtoa mada ana ufala flani hivi wa kukimbilia kuanzisha nyuzi kuhusu mechi alafu anatokomea kusiko julikana, wanayanga pia mnajifanya mpo bize, nimechoka kuandika kwahelini.
Endelea mkuu tunakutegemea sana sie ambao tupo mbali na tv
 
Hawa Dodoma washenzi sana, Sasa ndo nini wanafanya hapa.
 
Back
Top Bottom