Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Unathibitisha vipi kua inonga alikuwepo kwenye mazoezi ya simba?

Kwa picha?
Sio tu Picha, Bali ni Picha uliyowekwa mtandaoni (Twitter) na shirika kubwa la utangazaji kwa sasa nchini Tanzania ambalo juzi tu lilitoka kutoa mpunga mrefu kwa Vilabu kupitia TFF. Mpunga wa haki miliki za Television.

Au unataka kutuambia kuwa Azam TV nao hawampendi Inonga?
 
Unathibitisha vipi kua inonga alikuwepo kwenye mazoezi ya simba?

Kwa picha?
Mimi nathibitisha kwavile Azam tv ni kituo kikubwa hawawezi kuandika na ku post vitu vya uongo maana wanafatiliwa na watu wengi mpaka viongozi wa Simba wenyewe huwa wafuatilia pia. Je wewe hauwamini Azam tv?
 
wapi tovuti ya kongo ime publish habari kua henock hayupo kwenye kikosi cha timu ya taifa?
Naona Unapata Shida "Kuelewa". Ngoja nikutafunie kidogo!

1. Nadharia yangu kuhusu Inonga kutoitwa timu ya Taifa ina thibitishwa na tovuti rasmi ya shirikisho la mpira wa miguu Kongo. Ki vipi? Ukiingia kwenye tovuti rasmi. Utakuta orodha ya majina ya wachezaji 24. Kati ya hao hakuna jina linaloitwa Inonga.

2. Pia inathibitika pale unapoona shirika kuu la utangazaji tanzania linapo tumia akaunti zake rasmi za mitandao na kuposti taarifa ambayo ikionyesha simba iko mazoezini.

Na cha ajabu zaidi habari picha inamuonyesha Inonga akiwa mazoezini. (Itafakari habari picha & Caption)

 
Mimi nathibitisha kwavile Azam tv ni kituo kikubwa hawawezi kuandika na ku post vitu vya uongo maana wanafatiliwa na watu wengi mpaka viongozi wa Simba wenyewe huwa wafuatilia pia. Je wewe hauwamini Azam tv?
Kuna sehemu anataka kuelekea - kuwa tunaanzaje kuamini Azam TV. Kwamba Azam TV sio chombo cha Kuakiamini pale kinapo andika habari za Simba Sc. ila ni chombo cha kukiamini oale kinapoandika habari ya vilabu vingine vyote.
 






 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


Huyu IKOKO JORDAN hayuko kwenye orodha yako ya Chini na yule wa Chini CHANCEL MBEMBA MANGULU hayuko kwenye orodha ya Juu.

Nenda kamchape Makofi Matatu aliye kusaidia Ku-Edit. Maana ameshindwa kutumia akili - Scars
 
Hii timuunayoipamba sio ndio tuliwafunga 😜😜😜😜Hebu acheni Usimba na Uyanga ...huo no ushabiki tu ...be realistic !
Ligi yetu ni changa Sana kisoka,Ila Kuna Simba na Yanga zinalipa vizuri,kwa sababu Kuna wafadhili wachumia tumbo!
 
Au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…