demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #201
Sio tu Picha, Bali ni Picha uliyowekwa mtandaoni (Twitter) na shirika kubwa la utangazaji kwa sasa nchini Tanzania ambalo juzi tu lilitoka kutoa mpunga mrefu kwa Vilabu kupitia TFF. Mpunga wa haki miliki za Television.Unathibitisha vipi kua inonga alikuwepo kwenye mazoezi ya simba?
Kwa picha?
Au unataka kutuambia kuwa Azam TV nao hawampendi Inonga?