Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Unathibitisha vipi kua inonga alikuwepo kwenye mazoezi ya simba?

Kwa picha?
Sio tu Picha, Bali ni Picha uliyowekwa mtandaoni (Twitter) na shirika kubwa la utangazaji kwa sasa nchini Tanzania ambalo juzi tu lilitoka kutoa mpunga mrefu kwa Vilabu kupitia TFF. Mpunga wa haki miliki za Television.

Au unataka kutuambia kuwa Azam TV nao hawampendi Inonga?
 
Unathibitisha vipi kua inonga alikuwepo kwenye mazoezi ya simba?

Kwa picha?
Mimi nathibitisha kwavile Azam tv ni kituo kikubwa hawawezi kuandika na ku post vitu vya uongo maana wanafatiliwa na watu wengi mpaka viongozi wa Simba wenyewe huwa wafuatilia pia. Je wewe hauwamini Azam tv?
 
wapi tovuti ya kongo ime publish habari kua henock hayupo kwenye kikosi cha timu ya taifa?
Naona Unapata Shida "Kuelewa". Ngoja nikutafunie kidogo!

1. Nadharia yangu kuhusu Inonga kutoitwa timu ya Taifa ina thibitishwa na tovuti rasmi ya shirikisho la mpira wa miguu Kongo. Ki vipi? Ukiingia kwenye tovuti rasmi. Utakuta orodha ya majina ya wachezaji 24. Kati ya hao hakuna jina linaloitwa Inonga.

2. Pia inathibitika pale unapoona shirika kuu la utangazaji tanzania linapo tumia akaunti zake rasmi za mitandao na kuposti taarifa ambayo ikionyesha simba iko mazoezini.

Na cha ajabu zaidi habari picha inamuonyesha Inonga akiwa mazoezini. (Itafakari habari picha & Caption)

c.JPG
 
Mimi nathibitisha kwavile Azam tv ni kituo kikubwa hawawezi kuandika na ku post vitu vya uongo maana wanafatiliwa na watu wengi mpaka viongozi wa Simba wenyewe huwa wafuatilia pia. Je wewe hauwamini Azam tv?
Kuna sehemu anataka kuelekea - kuwa tunaanzaje kuamini Azam TV. Kwamba Azam TV sio chombo cha Kuakiamini pale kinapo andika habari za Simba Sc. ila ni chombo cha kukiamini oale kinapoandika habari ya vilabu vingine vyote.
 
Sababu kuu mbili zinasupport nadharia ya kuwa Inonga yuko kwenye mazoezi na Simba uwanja wa Bunju:-

1. Hayuko kwenye orodha rasmi ya wachezaji 24 wanao endelea na mazoezi kwenye uwanja wa "mashujaa" kule Congo.

2. Mnamo tarehe 5/10/2021, Azam TV walipost picha latest wakionyesha simba wakiendelea na Mazoezi "bunju". Ninaweza kuamini Azam TV zaidi kuliko maneno ya mtu binafsi kwa sababu

KIKOSI.jpg

Untitled-1.jpg
 
Hii timuunayoipamba sio ndio tuliwafunga 😜😜😜😜Hebu acheni Usimba na Uyanga ...huo no ushabiki tu ...be realistic !
Ligi yetu ni changa Sana kisoka,Ila Kuna Simba na Yanga zinalipa vizuri,kwa sababu Kuna wafadhili wachumia tumbo!
Mayele
Djuma
Bangala
Mukoko
Tuisila

Wote hawa walikuwa Wanaitwa kwenye timu ya Taifa wakati wapo As vita kwenye mashindano ya CHAN, yaani wachezaji wanaocheza ligi ya ndani, ila ukija kwenye Afcon na world cup Qualifying huwezi kuta hata Tp mazembe au vita club ina wachezaji hata watatu kwenye kikosi chao cha Taifa
 
Hii timuunayoipamba sio ndio tuliwafunga 😜😜😜😜Hebu acheni Usimba na Uyanga ...huo no ushabiki tu ...be realistic !
Ligi yetu ni changa Sana kisoka,Ila Kuna Simba na Yanga zinalipa vizuri,kwa sababu Kuna wafadhili wachumia tumbo!
Au sio
 
Back
Top Bottom