Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Naona umetuwekea kinyesi kwenye hotpot halafu unasema karibuni pilau
Na ulivyokuwa Inteligent ukafunua na hotpot lenyewe na hata Ukanusa kilichomo na ukagundua kuwa ni Kinyesi.

Kwanini hukuamini macho yako?
 
Hivi Kama wewe ungekua Kocha wa Congo ungemwita Moloco ukawaacha Wachezaji wanacheza Belgium, France ama England!?

Kinachofanywa Morisson asiitwe Ghana, ni hicho hicho kina apply kwa DR CONGO.
Wachambuzi wa kibongo wanaipongeza Simba SC kwa kutoa mcheza ambaye ameitwa Timu ya Taifa ya Rwanda & Malawi. 😂
 
Hawatakuelewa humu hata kidogo japo ndo ukweli wenyewe.
 
Tukitumia mizania ya namba.

Asilimia ipi ya uwezekano wa takribani wachezaji 9 wa kikongo walioko Yanga kuitwa ukilinganisha na mchezaji 1 aliyeko Simba?

Tusisahau hata Tonombe aliitwa May 2021.
Unatumia takwimu za May au October ?
 
Enock huwa yupo sio kwamba hii n Mara ya kwanza au pili au tatu no , huyo hua yupo
Enock anaitwa timu ya taifa ya wachezaji wa ndani. Upo hapo?
 
Ogopa matapeli Inonga yupo Bunju huko kwenye mazoezi, Angekuwa kaitwa angekuwa Congo huko now
 
sasa ndo wakongo wote mlionao asiitwe hata moja ?
Hilo sio jambo la kushangaza mkuu, Timu ya pili kwa ubora Congo As vita haina mchezaji hata mmoja timu ya Taifa, na hiyo Tp mazembe imetoa wachezaji 3 tu na hakuna hata mmoja ataweza ku feature kwenye first eleven
 
Bla bla nyingi halafu wachezaji wote wa kigeni hamna hata moja aliyeitwa timu ya taifa ,Utopolo ni Utopolo tu
Khalid Aucho
Djigui Diaara
Yacouba Sogne
Saido Ntibanzonkiza
 
Ebu ngoja hapo hapo pa aucho, huyo kibopa amepaishwa sana humu na ana record mbaya sana huko national team. Na hata angepata nafasi basi angeenda kuandika record mbovu nyingine

Na wala sio mara yake ya kwanza kua excluded kwenye squad
 
Hapo kuna mchezaji 1 tu wa Tp mazembe ambaye ni Arsene Zolla ila As vita hakuna player hata mmoja, halafu ndo uje uulize wachezaji wa kutoka simba na Yanga kutoka congo yenye player kibao wanacheza Ufaransa na Ubelgiji
 
Bla bla nyingi halafu wachezaji wote wa kigeni hamna hata moja aliyeitwa timu ya taifa ,Utopolo ni Utopolo tu
Swali ni hili...

Je kuna mchezaji yeyote kutoka Simba SC angepata hata kuitwa timu ya Taifa kama angekuwa Mkongo, M'bukina Faso au M'mali? Yanga ina wachezaji takriban 1O kutoka mataifa hayo bora kisoka barani Afrika.

Ukishindwa kulielewa swali nijuze nikufafanulie zaidi.
 
Ebu ngoja hapo hapo pa aucho, huyo kibopa amepaishwa sana humu na ana record mbaya sana huko national team. Na hata angepata nafasi basi angeenda kuandika record mbovu nyingine

Na wala sio mara yake ya kwanza kua excluded kwenye squad
Broo, it seems u know nothing about football nowadays

Khalid Aucho kapewa Ucaptain jana wa timu taifa baada ya Okwi kutoitwa timu ya taifa coz now mwamba hana timu anayo chezea kwahyo level yake ya competition ni ndogo
 
Kwa hiyo yanga haijapeleka mchezaji hata mmoja national team ukiachana na wachezaji wa hapa ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…