Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Utopolo maana take ni kushindwa kutumia akili vizuri djuma shabani alikuwa anaitwa national team, mayele pia alikuwa anaitwa lakini wore hao wameachwa baada ya viwango kushuka na ndio maana wakaja kwenye timu ambayo haishiriki michuano yoyote mikubwa afrika nafikiri Sasa hivi wanajuta
 
Yule kipa wetu anayedaka hadi mishale vipi naye ameenda kwenye neshino timu?

Wasije tuumizia tukaanza kufungwa.
Ameitwa ila Mali wana Goalkeeper anaitwa Ibrahim Muonkoro anacheza Tp Mazembe kama ulimuona siku ya simba day huyo ndo first choice ya Coach
 
Unaweza kuithibitisha kwamba wachezaji simba ili bahatika kusajili wabovu ambao ni unwanted?
Morrison
Pascal Wawa
Henoc Inonga
Saido kanoute
Sakho
Henoc inonga kaitwa angalia utachekwa
 
Utopolo maana take ni kushindwa kutumia akili vizuri djuma shabani alikuwa anaitwa national team, mayele pia alikuwa anaitwa lakini wore hao wameachwa baada ya viwango kushuka na ndio maana wakaja kwenye timu ambayo haishiriki michuano yoyote mikubwa afrika nafikiri Sasa hivi wanajuta
Ukitumia akili utagundua kuna timu ya taifa ya wachezaji wa ndani na timu ya taifa yenye kujumuisha wachezaji wote wanaocheza katika ligi za Duniani.

Ukitumia akili kidogo tu utagundua ni wapi umeingia chaka.
 
Utopolo maana take ni kushindwa kutumia akili vizuri djuma shabani alikuwa anaitwa national team, mayele pia alikuwa anaitwa lakini wore hao wameachwa baada ya viwango kushuka na ndio maana wakaja kwenye timu ambayo haishiriki michuano yoyote mikubwa afrika nafikiri Sasa hivi wanajuta
Mayele
Djuma
Bangala
Mukoko
Tuisila

Wote hawa walikuwa Wanaitwa kwenye timu ya Taifa wakati wapo As vita kwenye mashindano ya CHAN, yaani wachezaji wanaocheza ligi ya ndani, ila ukija kwenye Afcon na world cup Qualifying huwezi kuta hata Tp mazembe au vita club ina wachezaji hata watatu kwenye kikosi chao cha Taifa
 
Ingia katika website rasmi ya Linafoot halafu utazame kikosi alichokitangaza Kocha Hector Cuper juzi uone kama kuna mchezaji kutoka Tanzania.

Ila kama Ukimuona screenshot then utubandikie hapa, kama ujamuona waweza kuvunga tu kwa kukaa kimya maana nao ni uutu uzima. 😂 😂
Hiyo website imewekwa lugha ya kikongo afu hata hivyo hiyo squad sijaiona, labda unipe link
 
Henoc inonga kaitwa angalia utachekwa
Unalishwa matango pori na Page ya Simba and then unakubali

Mkuu Nenda Instagram page ya shirikisho la mpira congo DRC utaona full squad ya congo and then screenshot ulete hapa

Akiwemo kwenye hiyo list kuna elfu hamsini hapa kwenye simu yangu, weka namba hapa nikutumie
 
Nimeenda huko hakuna updates yeyote, kama nakosea wekeni hapa link ya hiyo page wote tuone, sio mnaishia kusema jambo fulani ni la uwongo bila data
 
Henoc inonga kaitwa angalia utachekwa
Naona umeshindwa hata kuitafuta website rasmi ya Linafoot. Haya hiyo hapo nimekuletea... 😂 😂 Tuonyeshe Henoc Inonga.

11.JPG

Wachezaji walioitwa timu ya Taifa Congo.
 
Ulishaona Manchester united kwenye page yake inaweka majina ya wachezaji walioitwa timu ya taifa
Kwani ulishawahi kuona manchester united inatembeza bakuli?

Usipende kujifananisha na timu za ndoto zako, sio kila inachokifanya man na yanga ifanye, mtachanika msamba shauri yenu
 
Basi ngoja tukuletee na hii hapa - pengine akili za kushikiwa zitakuacha na utakuwa huru. 😂 😂 😂 😂

View attachment 1964681
Hivi mnashindwaje kuweka link kama hizo data zipo kwenye official site ya nationsl team, ili eote tuone?

Mimi ulivyoniambia squad ipo kwenye site ya linafoot, nimejaribu kuingia sijaona lolote na link yake ni hii nawawekea LINAFOOT.com

Ebu nipeni hiyo link yenu mliyoangalia nyinyi ambayo mnadai
 
Nimeikuza Kidogo! 😂 😂

View attachment 1964682
hiki ulichokiweka hapa hata mimi naweza nikakifanya maradufu yake, naweza nikakuongezea idadi ya wachezaji hapo na pia nikitaka naweza nikawapunguza wachezaji ninao wataka, je nitakua nimekuthibitishia kua picha hiyo inasadiki ukweli?
 
Back
Top Bottom