Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Kwani ulishawahi kuona manchester united inatembeza bakuli?

Usipende kujifananisha na timu za ndoto zako, sio kila inachokifanya man na yanga ifanye, mtachanika msamba shauri yenu
Mkuu timu huwa haziweki majina ya wachezaji wao walioitwa timu ya Taifa kwenye page zao

Ukiona timu imeweka basi huo ni ulimbukeni ww kolo
 
GK Parfait Mandanda 10 October
1989 (age 31) Mouscron

GK Joël Kiassumbua 6 April 1992 (age 29) Servette

GK Hervé Lomboto 27 September 1989 (age 32) Motema Pembe

GK Lionel Mpasi 1 August 1994 (age 27) Rodez AF

DF Chancel Mbemba 8 August 1994 (age 27) Porto

DF Ngonda Muzinga 31 December 1994 (age 26) Dijon

DF Christian Luyindama 8 January 1994 (age 27) Galatasaray

DF Fabrice Nsakala 21 July 1990 (age 31) Beşiktaş

DF Jordan Ikoko 3 February 1994 (age 27) Ludogorets

DF Dieumerci Amale 17 October 1998 (age 22) Difaâ

DF Idumba Fasika 28 February 1999 (age 22) Cape Town City

DF Arsène Zola 23 February 1996 (age 25) Mazembe

MF Fabrice Ngoma 22 January 1994 (age 27) Raja Casablanca

MF Chadrac Akolo 1 April 1995 (age 26) Amiens

MF Gaël Kakuta 21 June 1991 (age 30) Lens

MF Samuel Moutoussamy 12 August 1996 (age 25) Fortuna Sittard

MF Edo Kayembe 3 August 1998 (age 23) Eupen

MF Samuel Bastien 26 November 1996 (age 24) Standard Liège

FW Yannick Bolasie 24 May 1989 (age 32) Çaykur Rizespor

FW Dieumerci Mbokani 22 November 1985 (age 35) Kuwait SC

FW Cédric Bakambu 11 April 1991 (age 30) Beijing Guoan

FW Meschak Elia 6 August 1997 (age 24) Young Boys

FW Ben Malango 10 September 1993 (age 28) Al-Sharjah

FW Jackson Muleka 4 October 1999 (age 22) Standard Liège

FW Jonathan Okita
 
Unaweza kunionesha ni lini manchester united iliitisha press kwa ajili ya kuzindua kalenda?

Hivi wewe utopolo unapatia wapi nguvu ya kusema wewe sio limbukeni?

Au club gani kubwa uliona mashabiki wanaitana kwenda airport kuwabeba wachezaji wao juu juu?

Mimi nataka mnipe hiyo link ya hao wachezaji ambao katika list, mchezaji wa simba hayupo
 
Kitu gani hiki?

Weka link, hii hata mi naweza
 
Naona uko kwa ajili ya ligi.
Unaweza kufanya mjadala huu kufikia kikomo kwa kufanya jambo moja tu

Weka link ya official website au any trusted source ambayo imetaja wachezaji wa kikosi cha congo national team kisha tuone hiyo squad kama imekosa mchezaji wa simba

Kuniambia napenda ligi badala ya kuweka link ya kukata mabishani nikuchochea zaidi ligi.
 
Nimepita kwenye pages zote za kikongo hakuna updates yeyote huko, mmenipa majina ya sites za kikongo nimrjikuta mpaka sasa nimeanza kukijua kikongo lakini hizo data zenu hazipo

Katika picha uliyoituma nimechukua jina la site ambalo limeandikwa pale chini ya picha leopardleader.com napo huko chenga hamna kitu.

Sasa hizo data wenzangu mmezitolea wapi kama kote huko mnakodai hamna, maana hiyo LINAFOOT.com ndo kabisa nyeupe, recent post ni ya siku tatu nyuma, na hiyo recent post imezungumzia club ya saba balenge

Kabla ya hapo siku sita zilizopita ndo ikapostiwa habari nyingine, nayo hiyo ni irrelevant kabisa, haihusiani hata kidogo, sasa si mkubali tu kua mlikua mnadanganya ila nimewastukia?
 
Kwahyo hukuona mashabiki wa PSG walienda airport kumpokea Messi

Au mashabiki wa Manchester kumpokea Ronaldo

Na labda nikueleze kihistoria Manchester, Yanga, AL Ahly, Juventus dio timu pekee zinaweza zikakaa chini na kuzungumza lugha moja ya Makombe mengi katika historia Past, present and future
 
Usha elezwa tangu mwanzo nenda katika Official pages za shirikisho la mpira Congo za Facebook na Instagram,

Kwahyo unataka kutafuniwa kila kitu wewe kolo
 
Unaweza kufanya mjadala huu kufikia kikomo kwa kufanya jambo moja tu

Weka link ya official website au any trusted source ambayo imetaja wachezaji wa kikosi cha congo national team kisha tuone hiyo squad kama imekosa mchezaji wa simba

Kuniambia napenda ligi badala ya kuweka link ya kukata mabishani nikuchochea zaidi ligi.
Usha elezwa tangu mwanzo nenda katika Official pages za shirikisho la mpira Congo za Facebook na Instagram,

Kwahyo unataka kutafuniwa kila kitu wewe kolo
 
Kitu gani hiki?

Weka link, hii hata mi naweza
Usha elezwa tangu mwanzo nenda katika Official pages za shirikisho la mpira Congo za Facebook na Instagram,

Kwahyo unataka kutafuniwa kila kitu wewe kolo

Acha Uzwauzwa wewe kolo mbumbumbu
 
Kwahyo hukuona mashabiki wa PSG walienda airport kumpokea Messi

Au mashabiki wa Manchester kumpokea Ronaldo

Na labda nikueleze kihistoria Manchester, Yanga, AL Ahly, Juventus dio timu pekee zinaweza zikakaa chini na kuzungumza lugha moja ya Makombe mengi katika historia Past, present and future
Messi na ronaldo kwa ukubwa wao ule uliwaona wakibebwa juu juu hapo airport?

Ukisema ishu ya makombe weka data hapa zote zinazoonesha mashindano yote afu tuone.

Al ahly, psg na hizo timu kubwa zingine zinaweza zikaongea na simba kuhusiana na robo fainali double tearm ya club bingwa

Mara ya mwisho kufika robo fainali club bingwa ilikua mwaka gani?
 
Usha elezwa tangu mwanzo nenda katika Official pages za shirikisho la mpira Congo za Facebook na Instagram,

Kwahyo unataka kutafuniwa kila kitu wewe kolo
huko nimeenda sijaona, na inaonekana hufuatilii huu mlolongo.

Hiyo site ya linafoot aliyosema ina hizo takwimu, wewe umeihakikisha?

Hata pages za facebook na insta zina link, mnashindwa nini kuweka hizo links?
 
Hiyo sit ya linafoot aliyosema ina hizo takwimu, wewe umeihakikisha?

Hata pages za facebook na insta zina link, mnashindwa nini kuweka hizo links?
Mzee unaupiga mwingi [emoji23][emoji23]
 
Usha elezwa tangu mwanzo nenda katika Official pages za shirikisho la mpira Congo za Facebook na Instagram,

Kwahyo unataka kutafuniwa kila kitu wewe kolo
Wewe huko unako nielekeza kua kuna majibu ya hoja zangu, umejaribu kutembelea hizo pages kuhakikisha?

Mimi nimeenda huko kote sijakuta chochote, kama kuna namna ambayo mnaziona basi wekeni link hapa ili kurahisisha
 
Messi na ronaldo kwa ukubwa wao ule uliwaona wakibebwa juu juu hapo airport?

Ukisema ishu ya makombe weka data hapa zote zinazoonesha mashindano yote afu tuone.

Al ahly, psg na hizo timu kubwa zingine zinaweza zikaongea na simba kuhusiana na robo fainali double tearm ya club bingwa

Mara ya mwisho kufika robo fainali club bingwa ilikua mwaka gani?
Unaongelea klabu bingwa gani? Hahaha
 
Wewe huko unako nielekeza kua kuna majibu ya hoja zangu, umejaribu kutembelea hizo pages kuhakikisha?

Mimi nimeenda huko kote sijakuta chochote, kama kuna namna ambayo mnaziona basi wekeni link hapa ili kurahisisha
Nina wasiwasi na elimu yako, haya ndo madhara ya "Big result now"
 
huko nimeenda sijaona, na inaonekana hufuatilii huu mlolongo.

Hiyo site ya linafoot aliyosema ina hizo takwimu, wewe umeihakikisha?

Hata pages za facebook na insta zina link, mnashindwa nini kuweka hizo links?
Hatuwezi kukutafunia kila kitu wewe kolo na tunakuacha na ujinga wako na matokeo ya "Big results now"
 
Mzee unaupiga mwingi [emoji23][emoji23]
Hawa wamezoea kudanganywa huko utopoloni nao wanayachukua maneno kama yalivyo bila kuyafanyia tathmini

Wameanza mbali, ooh sijui ukienda insta na fb kwenye pages za kikongo utaona.

Hawa inaonekana hata hawana ile tiny clue, timu ya taifa ya kongo ina account twitter ambayo ni official, hakuna page yeyote facebook wala instagram

Pili hata kwenye hiyo page ya tweeter ukiingia utaona post ya mwisho ilikua ni tarehe 1 mwezi wa 9,, hakuna update yeyote kuhusiana na habari za kikosi cha timu ya taifa kilichoitwa

Wameanza kujitupatupa kama kuku aliyekatwa shingo, mmoja kasema hizo data zipo kwenye website ya linafoot, mi nikaingia hapo, napo huko nimekuta post ya mwisho ina siku tatu, halafu nsyo hsizungumzii chochote kuhusiana na timu ya taifa

Haya wametoka hapo wamekuja na picha ambayo imetengenezwa kindezi sana, chini ya ile picha kulikua na site name ambalo lilionesha kua ndio source ya hiyo habari pichani.

Nako huko chenga hakuna kitu, sasa kwanini wasikubali tu kua tuli invent uzushi tulijua utakua easy deluded kama utopolo ila tusamehe tu, mi ningewaelewa
 
Back
Top Bottom