Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Mkuu timu huwa haziweki majina ya wachezaji wao walioitwa timu ya Taifa kwenye page zaoKwani ulishawahi kuona manchester united inatembeza bakuli?
Usipende kujifananisha na timu za ndoto zako, sio kila inachokifanya man na yanga ifanye, mtachanika msamba shauri yenu
Ukiona timu imeweka basi huo ni ulimbukeni ww kolo