Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Nina wasiwasi na elimu yako, haya ndo madhara ya "Big result now"
Weka link hiyo mipasho haitakusaidia, mipasho kama hiyo mlimpa wales karia na still kombe hamkupata, sasa mimi nani mpaka nione nakosewa sana?

Weka link
 
Unaandika riwaya eti kuhalalisha Kwamba Henoc Inonga kaitwa national team, Broo are serious!

Kibaya zaidi jana kaonekana kwenye mazoezi ya simba pale Bunju
 
Hatuwezi kukutafunia kila kitu wewe kolo na tunakuacha na ujinga wako na matokeo ya "Big results now"
Unachamba kuliko hata mkono wa kushoto, kuizungumzia sana elimu hakukufanyi kuwa msomi

Kunywa take away kwa wingi hakukufanyi uwe baharesa

Inawezekana hata napoandika neno "link" hujui ni kitu gani na ndio maana huelewi nini unachopaswa kufanya
 
Weka link hiyo mipasho haitakusaidia, mipasho kama hiyo mlimpa wales karia na still kombe hamkupata, sasa mimi nani mpaka nione nakosewa sana?

Weka link
Mkuu research huwa inapingwa kwa research

Tumeweka Kikosi cha congo DRC kilichoitwa na source zake kwamba Hakuna player wa congo anayetoka ligi ya Tanzania ila ww umesema yupo na inaitwa Henoc Inonga basi to cut long story short Weka Kikosi hicho cha congo na source yake, very easy na wala hutakiwi kutumia nguvu na kuandika riwaya kutetea ujinga ambao unajua ukweli wake
 
Unaandika riwaya eti kuhalalisha Kwamba Henoc Inonga kaitwa national team, Broo are serious!

Kibaya zaidi jana kaonekana kwenye mazoezi ya simba pale Bunju

Kama ulikua huijui link, hii hapo ni link moja wapo ambayo mwenzako ameonesha picha yenye habari iliyopostiwa kwenye hiyo site

Sasa mimi nime visit hiyo site, sijakutana na ile habari ambayo nimeiona kwenye picha ya mdau.

Naomba uitembelee hiyo site ujihakikishie na wewe halafu unioneshe hiyo habari iko wapi

Ukishindwa nitakuita nyani katika kila comment yangu, sio nyani kwa maana ya tusi, nyani kwa maana ya sifa yenu mliyoelezewa na lucy eymael
 
Very easy strategy

"Facts hupingwa na facts ila huwezi kutumia opinions kuipinga facts" utaonekana kichaa
While
"Opinions hupingwa na facts"
 
Mkuu research huwa inapingwa kwa research

Tumeweka Kikosi cha congo DRC kilichoitwa na source zake kwamba Hakuna player wa congo anayetoka ligi ya Tanzania ila ww umesema yupo na inaitwa Henoc Inonga basi to cut long story short Weka Kikosi hicho cha congo na source yake, very easy na wala hutakiwi kutumia nguvu na kuandika riwaya kutetea ujinga ambao unajua ukweli wake
Umeweka kikosi kupitia source za kufoji, hakuna credible source inayokubaliana na taarifa zenu, na nyie mnalijua hilo na ndio maana hamuwezi kuweka links hizo hapa kumalizi huu ubishi

Usiseme hakuna player wa kongo kwenye ligi ya tanzania ilihali huko ulipoona hicho kikosi ambacho wamekisekana wachezaji wa club za tz huwezi kuthibitisha kua habari hiyo ipo real

Mimi nimekuambia henoc inonga kaitwa national team kulingana na list iliyotolewa na club ya simba.

Wewe umedai ni uongo kwasababu una data sahihi kutoka vyanzo vya kuaminika ambazo zinaonesha huyo henoc hayupo kwenye kikosi.

Sasa nimekuomba links za hizo source umeshindwa, saizi unaniambia nikupe mimi uthibitisho, kivipi? Ina maana ulijitungia?

Mimi ndio nimekua wakwanza kukuambia hakuna update yeyote kwenye pages ya national team ya kongo, sasa hizo data zako ulizitolea wapi?
 
Very easy strategy

"Facts hupingwa na facts ila huwezi kutumia opinions kuipinga facts" utaonekana kichaa
While
"Opinions hupingwa na facts"
Kuna fact gani ambayo umeiweka?

Kuna link yeyote kutoka credible source inayothibitisha madai yako au ni vile vipicha ambavyo hata mimi naweza nikavi edit na kukupa ndio unaviita fact?

Nyani wee
 
Hawa wamezoea kudanganywa huko utopoloni nao wanayachukua maneno kama yalivyo bila kuyafanyia tathmini

Wameanza mbali, ooh sijui ukienda insta na fb kwenye pages za kikongo utaona.

Hawa inaonekana hata hawana ile tiny clue, timu ya taifa ya kongo ina account twitter ambayo ni official, hakuna page yeyote facebook wala instagram

Pili hata kwenye hiyo page ya tweeter ukiingia utaona post ya mwisho ilikua ni tarehe 1 mwezi wa 9,, hakuna update yeyote kuhusiana na habari za kikosi cha timu ya taifa kilichoitwa

Wameanza kujitupatupa kama kuku aliyekatwa shingo, mmoja kasema hizo data zipo kwenye website ya linafoot, mi nikaingia hapo, napo huko nimekuta post ya mwisho ina siku tatu, halafu nsyo hsizungumzii chochote kuhusiana na timu ya taifa

Haya wametoka hapo wamekuja na picha ambayo imetengenezwa kindezi sana, chini ya ile picha kulikua na site name ambalo lilionesha kua ndio source ya hiyo habari pichani.

Nako huko chenga hakuna kitu, sasa kwanini wasikubali tu kua tuli invent uzushi tulijua utakua easy deluded kama utopolo ila tusamehe tu, mi ningewaelewa
Hahaha! Una andika riwaya kutetea Opinions zako, are you kidding?

To cut long story short, give facts to your defending point

And if you don't have facts.
From now on, u have no right to have conversation with me

Am out yeah!
 
Hivi we utopolo hizo facts zenyewe unazijua hata rangi yake ikoje?

Mimi nimekuwekea facts za link ambazo kwa madai yenu mlidai kua hizo links zina majibu ya hoja zenu

Nakuuliza swali, unakubaliana na hoja ya kwamba nyinyi ndio mliopendekeza site ya linafoot kua ndio ina majibu ya hizo hoja zenu?

Unakubali kua kauli yenu ya kusema site ya linafoot haina majibu yeyote kuhusiana na wachezaji wa kongo walioitwa national team?

Nijibu hayo maswali nyie manyani
 
Scars nimekupa Muda ukapitie Instagram page ya timu ya taifa ya congo drc ila umeshindwa na unajiita mwerevu na nilikuwa nakupima level ya UMBUMBUMBU wako kumbe bado ni mkubwa sana

Scars official Instagram page ya Congo DRC national team inaitwa Leopardsfoot
Hivyo basi ingia ktk ukurasa huo na utaona list kamili ya wachezaji walioitwa ktk majukumu ya timu ya Taifa hilo.

Scars katika list hiyo kuna wachezaji wawili tu kutoka katika ligi ya ndani ya congo linafoot ambao ni Arsene Zolla kutoka Tp mazembe na Goalkeeper Herve Lomboto, Kama ligi yao tu wameshindwa kutoa wachezaji 3 kwenda national team kwahyo unategemea ligi ya Tanzania itoe mchezaji wa congo na Aingie ktk kikosi hicho, Nadhani majibu tayari unayo

Nakusihi tena usilaze ubongo wako kwa taarifa za kupikwa kutoka kwa timu yako ya simba na kuifanya kama ndio source yako mbele ya watu, kwa lugha ya beeting maana yake umeliwa au unakuwa umechana Mkeka
 
Kuna fact gani ambayo umeiweka?

Kuna link yeyote kutoka credible source inayothibitisha madai yako au ni vile vipicha ambavyo hata mimi naweza nikavi edit na kukupa ndio unaviita fact?

Nyani wee
Mambo yasiwe mengi mkuu, kumbe hata Instagram page rasmi ya Congo DRC national team huijui

Ingia
Leopardsfoot katika Instagram kila kitu kipo hapo na ulishindwa kuona niambie nifanye kuscreenshoot nikuletee
 
Umeweka kikosi kupitia source za kufoji, hakuna credible source inayokubaliana na taarifa zenu, na nyie mnalijua hilo na ndio maana hamuwezi kuweka links hizo hapa kumalizi huu ubishi

Usiseme hakuna player wa kongo kwenye ligi ya tanzania ilihali huko ulipoona hicho kikosi ambacho wamekisekana wachezaji wa club za tz huwezi kuthibitisha kua habari hiyo ipo real

Mimi nimekuambia henoc inonga kaitwa national team kulingana na list iliyotolewa na club ya simba.

Wewe umedai ni uongo kwasababu una data sahihi kutoka vyanzo vya kuaminika ambazo zinaonesha huyo henoc hayupo kwenye kikosi.

Sasa nimekuomba links za hizo source umeshindwa, saizi unaniambia nikupe mimi uthibitisho, kivipi? Ina maana ulijitungia?

Mimi ndio nimekua wakwanza kukuambia hakuna update yeyote kwenye pages ya national team ya kongo, sasa hizo data zako ulizitolea wapi?
Unaandika riwaya halafu hujui page ya national team ya congo kule Instagram.

Haya nenda kaingie, Leopardsfoot
 
Kama ulikua huijui link, hii hapo ni link moja wapo ambayo mwenzako ameonesha picha yenye habari iliyopostiwa kwenye hiyo site

Sasa mimi nime visit hiyo site, sijakutana na ile habari ambayo nimeiona kwenye picha ya mdau.

Naomba uitembelee hiyo site ujihakikishie na wewe halafu unioneshe hiyo habari iko wapi

Ukishindwa nitakuita nyani katika kila comment yangu, sio nyani kwa maana ya tusi, nyani kwa maana ya sifa yenu mliyoelezewa na lucy eymael
Haya nenda kaingie Leopardsfoot kule Instagram halafu ulete mrejesho
 
Weka link hiyo mipasho haitakusaidia, mipasho kama hiyo mlimpa wales karia na still kombe hamkupata, sasa mimi nani mpaka nione nakosewa sana?

Weka link
Haya kumbe level ya UMBUMBUMBU wako bado ni mkubwa sana nenda Instagram Tembelea page inaitwa Leopardsfoot
 
Acha kuzunguka tu we sema wachezaji wa yanga ni low quality hawana viwango vya kucheza timu za taifa hata wakiitwa husalia benchi tu.
Umeongelea wanaotoka mataifa makubwa je na Nchimbj, Kaseke wanatokea mataifa makubwa kimpira?
 
huko nimeenda sijaona, na inaonekana hufuatilii huu mlolongo.

Hiyo site ya linafoot aliyosema ina hizo takwimu, wewe umeihakikisha?

Hata pages za facebook na insta zina link, mnashindwa nini kuweka hizo links?
Kama zina link wewe unakwama wapi ?
 
Unaweza kunionesha ni lini manchester united iliitisha press kwa ajili ya kuzindua kalenda?

Hivi wewe utopolo unapatia wapi nguvu ya kusema wewe sio limbukeni?

Au club gani kubwa uliona mashabiki wanaitana kwenda airport kuwabeba wachezaji wao juu juu?

Mimi nataka mnipe hiyo link ya hao wachezaji ambao katika list, mchezaji wa simba hayupo
Umempiga na kitu kizito kwa head.
 
Back
Top Bottom