Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Malaria imekupanda kichwani weweenock inonga mbona hujamuweka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malaria imekupanda kichwani weweenock inonga mbona hujamuweka?
Ameitwa ila Mali wana Goalkeeper anaitwa Ibrahim Muonkoro anacheza Tp Mazembe kama ulimuona siku ya simba day huyo ndo first choice ya CoachYule kipa wetu anayedaka hadi mishale vipi naye ameenda kwenye neshino timu?
Wasije tuumizia tukaanza kufungwa.
Henoc inonga kaitwa angalia utachekwaUnaweza kuithibitisha kwamba wachezaji simba ili bahatika kusajili wabovu ambao ni unwanted?
Morrison
Pascal Wawa
Henoc Inonga
Saido kanoute
Sakho
Ukitumia akili utagundua kuna timu ya taifa ya wachezaji wa ndani na timu ya taifa yenye kujumuisha wachezaji wote wanaocheza katika ligi za Duniani.Utopolo maana take ni kushindwa kutumia akili vizuri djuma shabani alikuwa anaitwa national team, mayele pia alikuwa anaitwa lakini wore hao wameachwa baada ya viwango kushuka na ndio maana wakaja kwenye timu ambayo haishiriki michuano yoyote mikubwa afrika nafikiri Sasa hivi wanajuta
MayeleUtopolo maana take ni kushindwa kutumia akili vizuri djuma shabani alikuwa anaitwa national team, mayele pia alikuwa anaitwa lakini wore hao wameachwa baada ya viwango kushuka na ndio maana wakaja kwenye timu ambayo haishiriki michuano yoyote mikubwa afrika nafikiri Sasa hivi wanajuta
Hiyo website imewekwa lugha ya kikongo afu hata hivyo hiyo squad sijaiona, labda unipe linkIngia katika website rasmi ya Linafoot halafu utazame kikosi alichokitangaza Kocha Hector Cuper juzi uone kama kuna mchezaji kutoka Tanzania.
Ila kama Ukimuona screenshot then utubandikie hapa, kama ujamuona waweza kuvunga tu kwa kukaa kimya maana nao ni uutu uzima. 😂 😂
Unalishwa matango pori na Page ya Simba and then unakubaliHenoc inonga kaitwa angalia utachekwa
Nimeenda huko hakuna updates yeyote, kama nakosea wekeni hapa link ya hiyo page wote tuone, sio mnaishia kusema jambo fulani ni la uwongo bila dataUnalishwa matango pori na Page ya Simba and then unakubali
Mkuu Nenda Instagram page ya shirikisho la mpira congo DRC utaona full squad ya congo and then screenshot ulete hapa
Akiwemo kwenye hiyo list kuna elfu hamsini hapa kwenye simu yangu, weka namba hapa nikutumie
Naona umeshindwa hata kuitafuta website rasmi ya Linafoot. Haya hiyo hapo nimekuletea... 😂 😂 Tuonyeshe Henoc Inonga.Henoc inonga kaitwa angalia utachekwa
Kwani ulishawahi kuona manchester united inatembeza bakuli?Ulishaona Manchester united kwenye page yake inaweka majina ya wachezaji walioitwa timu ya taifa
Weka link, tujionee wenyewe, afu hicho kipicha chako kinaumiza macho tuNaona umeshindwa hata kuitafuta website rasmi ya Linafoot. Haya hiyo hapo nimekuletea... 😂 😂 Tuonyeshe Henoc Inonga.
View attachment 1964680
Wachezaji walioitwa timu ya Taifa Congo.
Wekeni link, wote tuone mnashindwaje kufanya hivyo?Kwani wewe uliangalia wapi? 😂 😂 😂 😂
Basi ngoja tukuletee na hii hapa - pengine akili za kushikiwa zitakuacha na utakuwa huru. 😂 😂 😂 😂Nimeenda huko hakuna updates yeyote, kama nakosea wekeni hapa link ya hiyo page wote tuone, sio mnaishia kusema jambo fulani ni la uwongo bila data
Hivi mnashindwaje kuweka link kama hizo data zipo kwenye official site ya nationsl team, ili eote tuone?Basi ngoja tukuletee na hii hapa - pengine akili za kushikiwa zitakuacha na utakuwa huru. 😂 😂 😂 😂
View attachment 1964681
hiki ulichokiweka hapa hata mimi naweza nikakifanya maradufu yake, naweza nikakuongezea idadi ya wachezaji hapo na pia nikitaka naweza nikawapunguza wachezaji ninao wataka, je nitakua nimekuthibitishia kua picha hiyo inasadiki ukweli?
Wekeni link, wote tuone mnashindwaje kufanya hivyo?
Naona uko kwa ajili ya ligi.Weka link, tujionee wenyewe, afu hicho kipicha chako kinaumiza macho tu