Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

Mi nadhani mjadala huu ungeishia hapa, maana mlitaka uthibitisho na mkapendekeza tutumie screenshot kama evidence, naimani screenshot zangu mmeziona na mmeridhika na ushahidi huo

Tukutane tena kwenye uzi mwingine
 
Azam TV wamemkuta Inonga Bunju hadi wakampiga picha na kuposti Twitter.

Shirikisho la soka la DRC halija post jina la Inonga kwenye website ya Shirikisho.

Ila kwa upande wako unatuaminisha Azam TV hawajui lolote zaidi yako na Linafoot wamesahau kupost jina la Inonga kwenye tovuti.

Muraaa wewe ni Hatari!
 
Huu mjadala haujaisha mkuu, ngoja nitulie, halafu nakujua upyaaaaaaaaa
 
Azam TV wamemkuta Inonga Bunju hadi wakampiga picha na kuposti Twitter.

Shirikisho la soka la DRC halija post jina la Inonga kwenye website ya Shirikisho.

Ila kwa upande wako unatuaminisha Azam TV hawajui lolote zaidi yako na Linafoot wamesahau kupost jina la Inonga kwenye tovuti.

Muraaa wewe ni Hatari!
kwani screenshot hujaiona, au unaji pretend to be blind?
 
Nakuletea screenshot halafu tuende tukahamie kwa mjadala wa mdhamini na nembo ya Twiga mwekundu
Nimekurahisishia, hii yapa screenshot. Haya twende kwenye huo mjadala wa twiga

KIKOSI.jpg
 
kwani screenshot hujaiona, au unaji pretend to be blind?
Nadhani mjadala ufungwe kwa namna ifuatayo.

Kwanza Scars ulikataa screenshot ya demigod kwa kuona kuwa screenshot mtu anaweza kufanya edit hivyo ukahitaji link ili upate uthibitisho. Bahati nzuri demigod akaweka official link kutoka timu ya taifa ya Congo ambayo inathibitisha kuwa Innonga hayupo kwenye list. Pia kupostiwa kwa Innonga na Azam tv akifanya mazoezi na timu ya Simba siku ya jana pia kuna thibitisha kuwa Innonga sio sehemu ya wachezaji wanaohitajika kwenye timu ya taifa ya Congo. Hivyo Scars tunaomba utuwekee official link kutoka Congo ikionesha kuwa Innonga yupo kwenye list.
 
Kwa Ulichokizungumza Hapa ninaomba THREAD Ifungwe rasmi. 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Nadhani mjadala ufungwe kwa namna ifuatayo.

Kwanza Scars ulikataa screenshot ya demigod kwa kuona kuwa screenshot mtu anaweza kufanya edit hivyo ukahitaji link ili upate uthibitisho. Bahati nzuri demigod akaweka official link kutoka timu ya taifa ya Congo ambayo inathibitisha kuwa Innonga hayupo kwenye list. Pia kupostiwa kwa Innonga na Azam tv akifanya mazoezi na timu ya Simba siku ya jana pia kuna thibitisha kuwa Innonga sio sehemu ya wachezaji wanaohitajika kwenye timu ya taifa ya Congo. Hivyo Scars tunaomba utuwekee official link kutoka Congo ikionesha kuwa Innonga yupo kwenye list.
Sio fact, nilikataa screenshot kwasababu nilikua sijui kua kumbe inawezekana picha kusimama kama evidence lakini tangu nimepewa ufafanuzi namna screenshot inapaswa kuaminika nikaona its fine. Sasa nashangazwa na nyinyi mnaochukua upande wangu ambao mwanzo niliona sio sahihi, mnaonesha kwamba hamkubali evidence ya screenshot, Why?

We hujaona screenshot zangu hapo juu?

Ukisema kuhusu link nadhani hukufatilia huu mjadala vizuri, hakuna mtu aliyeweka link. Kila mtu alitaka aaminiwe maneno yake pasipo kuweka credible source na ndio maana waliishia kusema nenda facebook nenda insta, wakati wao wangeweza kuweka link ya huko insta wangekua wamerahisisha

Baada ya kuona nimekomalia link, mmoja aka propose jina la site na akinitaka nikajionee mwenyewe, site yenyewe inaitwa linafoot, nimeenda kule nakutana na recent post ya siku tatu nyuma, nayo ni irrelevant kwa mjadala ambao uko mezani

Unaweza ukapitia hiyo site linafoot.com ujionee mwenyewe, kuna nyingine niliichukua kwenye screenshot inaitwa leopardleader.com
 
Picha yangu iko supported na tovuti rasmi ya shirikisho la Kongo + Post ya Azam TV twitter.
Picha ya Scars iko supported na maneno yake ya mdomoni.

😂 😂 😂
 
Wachezaji wengi wa kigeni waliopo Young Africans ama wamezeeka au hawana kiwango ndiyo maana hawaitwi katika timu zao za Taifa
Ina maana simba sc ilifungwa na wachezaji wazee na wasio kuwa na kiwango?

Kama ni kweli basi wachezaji wenu ni useless kabisa. 😂 😂
 
Picha yangu iko supported na tovuti rasmi ya shirikisho la Kongo + Post ya Azam TV twitter.
Picha ya Scars iko supported na maneno yake ya mdomoni.

😂 😂 😂
wapi tovuti ya kongo ime publish habari kua henock hayupo kwenye kikosi cha timu ya taifa?
 
Makolo kama wanaumwa tumbo la uzazi...wanahangaika na wananchi...

Yani unajitekenya then unacheka mwenyewe! Aliyeanzisha Uzi ni Uto mwenzako halafu from nowhere unakurupuka! Kama ni hivyo basi Mleta Uzi ambaye ni Uto mwenzako ndiye anayeumwaa na Utopolo wenu.
 
Sio fact, nilikataa screenshot kwasababu nilikua sijui kua kumbe inawezekana picha kusimama kama evidence lakini tangu nimepewa ufafanuzi namna screenshot inapaswa kuaminika nikaona its fine. Sasa nashangazwa na nyinyi mnaochukua upande wangu ambao mwanzo niliona sio sahihi, mnaonesha kwamba hamkubali evidence ya screenshot, Why?

We hujaona screenshot zangu hapo juu?

Ukisema kuhusu link nadhani hukufatilia huu mjadala vizuri, hakuna mtu aliyeweka link. Kila mtu alitaka aaminiwe maneno yake pasipo kuweka credible source na ndio maana waliishia kusema nenda facebook nenda insta, wakati wao wangeweza kuweka link ya huko insta wangekua wamerahisisha

Baada ya kuona nimekomalia link, mmoja aka propose jina la site na akinitaka nikajionee mwenyewe, site yenyewe inaitwa linafoot, nimeenda kule nakutana na recent post ya siku tatu nyuma, nayo ni irrelevant kwa mjadala ambao uko mezani

Unaweza ukapitia hiyo site linafoot.com ujionee mwenyewe, kuna nyingine niliichukua kwenye screenshot inaitwa leopardleader.com
Link imewekwa tena ni link kutoka website ya shirikisho la mpira Congo (fe.co.fa) soma post namba 178 kaweka link hii Link
MONDIAL 2022/RDC – MADAGASCAR : VINGT-TROIS JOUEURS DANS LA TANIERE DES LEOPARDS | Fédération Congolaise de Football Association - Site Officiel

Kwenye link hii Innonga hayupo kwenye list na hii ni official website ya shirikisho la mpira.

Tukija kwenye link ulizonipa wewe wala hakuna list inayoonesha Innonga kama sehemu ya wachezaji walioitwa dhidi ya mechi ya Madagascar.

Halafu point ya Innonga kuwepo jana kwenye mazoezi ya Simba unaona sio fact. Inawezekana vipi wachezaji walioitwa kwaajili ya mchezo wa Madascar ambao unachezwa tarehe Saba wote wawepo kambini kujiandaa na program ya mwalimu. Lakini Innonga peke yake ndio abakie Tanzania na klabu yake Tanzania tena ilikuwa ni tarehe 5 na mechi ni tarehe 7?
 
Unathibitisha vipi kua inonga alikuwepo kwenye mazoezi ya simba?

Kwa picha?
 
Sababu kuu mbili zinasupport nadharia ya kuwa Inonga yuko kwenye mazoezi na Simba uwanja wa Bunju:-

1. Hayuko kwenye orodha rasmi ya wachezaji 24 wanao endelea na mazoezi kwenye uwanja wa "mashujaa" kule Congo.

2. Mnamo tarehe 5/10/2021, Azam TV walipost picha latest wakionyesha simba wakiendelea na Mazoezi "bunju". Ninaweza kuamini Azam TV zaidi kuliko maneno ya mtu binafsi kwa sababu ina waandishi wa habari/news correspondent kutoka bunju.
 
Back
Top Bottom