Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam TV wamemkuta Inonga Bunju hadi wakampiga picha na kuposti Twitter.Mi nadhani mjadala huu ungeishia hapa, maana mlitaka uthibitisho na mkapendekeza tutumie screenshot kama evidence, naimani screenshot zangu mmeziona na mmeridhika na ushahidi huo
Tukutane tena kwenye uzi mwingine
Huu mjadala haujaisha mkuu, ngoja nitulie, halafu nakujua upyaaaaaaaaaMi nadhani mjadala huu ungeishia hapa, maana mlitaka uthibitisho na mkapendekeza tutumie screenshot kama evidence, naimani screenshot zangu mmeziona na mmeridhika na ushahidi huo
Tukutane tena kwenye uzi mwingine
kwani screenshot hujaiona, au unaji pretend to be blind?Azam TV wamemkuta Inonga Bunju hadi wakampiga picha na kuposti Twitter.
Shirikisho la soka la DRC halija post jina la Inonga kwenye website ya Shirikisho.
Ila kwa upande wako unatuaminisha Azam TV hawajui lolote zaidi yako na Linafoot wamesahau kupost jina la Inonga kwenye tovuti.
Muraaa wewe ni Hatari!
Njoo upya kwenye mjadala mpya, hapa ziache screenshot ziongee zenyeweHuu mjadala haujaisha mkuu, ngoja nitulie, halafu nakujua upyaaaaaaaaa
Nakuletea screenshot halafu tuende tukahamie kwa mjadala wa mdhamini na nembo ya Twiga mwekunduNjoo upya kwenye mjadala mpya, hapa ziache screenshot ziongee zenyewe
Nimekurahisishia, hii yapa screenshot. Haya twende kwenye huo mjadala wa twigaNakuletea screenshot halafu tuende tukahamie kwa mjadala wa mdhamini na nembo ya Twiga mwekundu
Sawa ila mjadala huu unaendeleaNimekurahisishia, hii yapa screenshot. Haya twende kwenye huo mjadala wa twiga
View attachment 1965735
Nadhani mjadala ufungwe kwa namna ifuatayo.kwani screenshot hujaiona, au unaji pretend to be blind?
Nadhani mjadala ufungwe kwa namna ifuatayo.
Kwanza Scars ulikataa screenshot ya demigod kwa kuona kuwa screenshot mtu anaweza kufanya edit hivyo ukahitaji link ili upate uthibitisho. Bahati nzuri demigod akaweka official link kutoka timu ya taifa ya Congo ambayo inathibitisha kuwa Innonga hayupo kwenye list. Pia kupostiwa kwa Innonga na Azam tv akifanya mazoezi na timu ya Simba siku ya jana pia kuna thibitisha kuwa Innonga sio sehemu ya wachezaji wanaohitajika kwenye timu ya taifa ya Congo. Hivyo Scars tunaomba utuwekee official link kutoka Congo ikionesha kuwa Innonga yupo kwenye list.
Sio fact, nilikataa screenshot kwasababu nilikua sijui kua kumbe inawezekana picha kusimama kama evidence lakini tangu nimepewa ufafanuzi namna screenshot inapaswa kuaminika nikaona its fine. Sasa nashangazwa na nyinyi mnaochukua upande wangu ambao mwanzo niliona sio sahihi, mnaonesha kwamba hamkubali evidence ya screenshot, Why?Nadhani mjadala ufungwe kwa namna ifuatayo.
Kwanza Scars ulikataa screenshot ya demigod kwa kuona kuwa screenshot mtu anaweza kufanya edit hivyo ukahitaji link ili upate uthibitisho. Bahati nzuri demigod akaweka official link kutoka timu ya taifa ya Congo ambayo inathibitisha kuwa Innonga hayupo kwenye list. Pia kupostiwa kwa Innonga na Azam tv akifanya mazoezi na timu ya Simba siku ya jana pia kuna thibitisha kuwa Innonga sio sehemu ya wachezaji wanaohitajika kwenye timu ya taifa ya Congo. Hivyo Scars tunaomba utuwekee official link kutoka Congo ikionesha kuwa Innonga yupo kwenye list.
Wachezaji wengi wa kigeni waliopo Young Africans ama wamezeeka au hawana kiwango ndiyo maana hawaitwi katika timu zao za Taifa
Ina maana simba sc ilifungwa na wachezaji wazee na wasio kuwa na kiwango?Wachezaji wengi wa kigeni waliopo Young Africans ama wamezeeka au hawana kiwango ndiyo maana hawaitwi katika timu zao za Taifa
Makolo kama wanaumwa tumbo la uzazi...wanahangaika na wananchi...
Link imewekwa tena ni link kutoka website ya shirikisho la mpira Congo (fe.co.fa) soma post namba 178 kaweka link hii LinkSio fact, nilikataa screenshot kwasababu nilikua sijui kua kumbe inawezekana picha kusimama kama evidence lakini tangu nimepewa ufafanuzi namna screenshot inapaswa kuaminika nikaona its fine. Sasa nashangazwa na nyinyi mnaochukua upande wangu ambao mwanzo niliona sio sahihi, mnaonesha kwamba hamkubali evidence ya screenshot, Why?
We hujaona screenshot zangu hapo juu?
Ukisema kuhusu link nadhani hukufatilia huu mjadala vizuri, hakuna mtu aliyeweka link. Kila mtu alitaka aaminiwe maneno yake pasipo kuweka credible source na ndio maana waliishia kusema nenda facebook nenda insta, wakati wao wangeweza kuweka link ya huko insta wangekua wamerahisisha
Baada ya kuona nimekomalia link, mmoja aka propose jina la site na akinitaka nikajionee mwenyewe, site yenyewe inaitwa linafoot, nimeenda kule nakutana na recent post ya siku tatu nyuma, nayo ni irrelevant kwa mjadala ambao uko mezani
Unaweza ukapitia hiyo site linafoot.com ujionee mwenyewe, kuna nyingine niliichukua kwenye screenshot inaitwa leopardleader.com
Link imewekwa tena ni link kutoka website ya shirikisho la mpira Congo (fe.co.fa) soma post namba 178 kaweka link hii Link
MONDIAL 2022/RDC – MADAGASCAR : VINGT-TROIS JOUEURS DANS LA TANIERE DES LEOPARDS | Fédération Congolaise de Football Association - Site Officiel
Kwenye link hii Innonga hayupo kwenye list na hii ni official website ya shirikisho la mpira.
Tukija kwenye link ulizonipa wewe wala hakuna list inayoonesha Innonga kama sehemu ya wachezaji walioitwa dhidi ya mechi ya Madagascar.
Halafu point ya Innonga kuwepo jana kwenye mazoezi ya Simba unaona sio fact. Inawezekana vipi wachezaji walioitwa kwaajili ya mchezo wa Madascar ambao unachezwa tarehe Saba wote wawepo kambini kujiandaa na program ya mwalimu. Lakini Innonga peke yake ndio abakie Tanzania na klabu yake Tanzania tena ilikuwa ni tarehe 5 na mechi ni tarehe 7?
Kuna Mjadara Unzazungumzwa Sana Pasi na Kuangaliwa na Kutazamwa Kwa Jicho la Ziada.
Suala la Idadi kubwa ya wachezaji wa Simba SC kuitwa kwenye Timu za Taifa.
Sababu kuu mbili zinasupport nadharia ya kuwa Inonga yuko kwenye mazoezi na Simba uwanja wa Bunju:-Unathibitisha vipi kua inonga alikuwepo kwenye mazoezi ya simba?
Kwa picha?