Tetesi: Yanga Sc kuachana na Kocha Mkuu Nabi

Simba watushindwe afu KMC watufunge, vichwa vingine vimejaza ujinga mwingi
 
Professionally ulipaswa utoe Credit kwa Source ya hii Taarifa ambako ni katika Gazeti la Michezo la Mwanaspoti na siyo Kujifanya kama ni yako Mwenyewe umeitafuta ( umeichimba ) wakati hata Uwezo huo huna.

Povu rukhsa baada ya hii Sindano.
Tehtehteh kolo vs kolo
 
Hujajifunza tu tangu Uzi wako wa Kibu D vs Mayele!
 
Ila wewe jamaa una kila dalili za kua Mwijaku
 
Jitathmini, ukiwa Mzee utakuwa mchawi.
 

Attachments

  • IMG-20221025-WA0005.jpg
    51.4 KB · Views: 4
Daah Yanga ishapotea sema Yanga walikosa maandalizi wao wana mechi za kimataifa wanaenda kucheza na kipanga sijui kifaru kigamboni...wachezaji wamenenepa balaa huyo Shaban Juma kanenepa hawezi kukimbia na huyo Kipa hivyo hivyo mipira anayoweza kudaka ni ile karibu yake hawezi kutoka kucheza mipira ua kona,Kona zote wanacheza mabeki Diara anachoweza ni kutoa pass za miguu vizuri na kuanzisha mashambulizi ila counter zote ni majanga kocha wamemlazimisha Kisinda arudi wakati walimsajiri Kambole ambae angesaidia Timu huyo Kisinda yeye anafikiria mbio tuu hata kama ni sehemu ya kutoa pass...juzi badala aanze Faridi Mussa kaanza Kisinda ambae hasaidii kukaba ambayo iliwafanya Simba waonekane kutawala kiungo muda mwingi huku Aucho akitumia kukaba kwa kufanya faulo maana alichoka sana kwa kufanya kazi mbili...
 
Utopolo fc bada ya kusikia Simba Ina. Mipango na kocha wa viper nao wamekimbilia issue..
 
sema huu uzi utaishi ni swala la muda kidogo tu sana siku za usoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…