Yanga SC kwanini Jina la Mwanzo la huyu Mchezaji wenu Mpya Mkongomani mnalikwepa kulitaja?

Umeishiwa hoja. Kuna majina mangapi hata watangazaji hawakuwa wanayataja ? Kuna balozi alishawahi kataliwa kisa jina..!! Haishangazi kwa Yanga

Pitia hapa

 
Makolo mmekosa cha kukosoa mmeamia kwenye jina

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Sasa Joyce maana si Furaha kwa kibongo mkuu?

Tatizo liko wapi?
 
Hahahaha mashabiki bwana yani mnavyoonge ni kama mmesajili kikosi hatari sana hapa Africa, kuna namna mpira utakuja kuwapunguzia expectations zenu hasa huko kimataifa.

Muda ni mwalimu mzuri.
Safari hii wale mashabiki mamluki, na mwenye mihemko viongozi wa Simba SC wamewapatia sana..!

Maana Simba SC haisajili kwa Presha yao yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…