Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.
Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
Kwa kuwa msimu ulopita mlitenganisha badala ya kuchanganyaHivi dirisha la usajili linafungwa lini? Hivi vipost vyenu vya kijinga mtakuja kuvifuta ligi ikishachanganya.
Hiyo post uliyoni quote naomba uifute nilikusudia kuandika bwana...ikajiandika mbwa plz nime edit ni vibaya kumuita mtu jina la mnyama...sorry mkuu haikuwa kusudi languAah Da Joy wowowo umeumbika, kishundu mbinuko kama chote
Umetisha mwananchiUsiseme Joyce lomalisa sema mtaalamu wa soka , maestroo octupas joyce alveira de santos paquetas de lomalisa oyoo wananchi [emoji617] [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji471][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Popoma na mbumbumbu wenzakoHaitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.
Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
Jina si hojaHaitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.
Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
Mbona wewe husubiri?Subiri dirisha la usajili lifungwe ndio uje hapa kubwabwaja, vinginevyo ni kupoteza muda tu.
Simba nao wako vizuri wameleta kademu kanaitwa Habiba kiyondo anakuja kuungana na demu la kudumu pale msimbazi Aisha mwana wa kumanula.Wewe umeona lini matokeo ya usajili walioufanya hili dirisha?
Endeleeni kupiga mdomo tu, tukianza kuwapelekea moto msianzee ooh GSM wanatembeza bahasha.
Huyu popoma Ni muongo muongo tu Hana lolote alijualo, hiyo SAUT ya kijiwe Cha kahawa labdaHalafu na wewe Popoma acha kuzingua bhana. Utafikiri hujasoma SAUT, chuo kikuu cha Ma genius!
Yaani unaoneana una mwili mkubwa! Halafu akili kisoda.
Una maisha kwanza, au ndo hivyo unasukuma tu siku? Maana hoja kama hizi haziletwi na watu walioserious na maisha.Simba nao wako vizuri wameleta kademu kanaitwa Habiba kiyondo anakuja kuungana na demu la kudumu pale msimbazi Aisha mwana wa kumanula.
Mfano wako uliouweka unakuhukumu, tanzania ilimkataa sababu ya jina ila yanga hawakujali jinaUmeishiwa hoja. Kuna majina mangapi hata watangazaji hawakuwa wanayataja ? Kuna balozi alishawahi kataliwa kisa jina..!! Haishangazi kwa Yanga
Pitia hapa
Tanzania yamkataa balozi mpya wa Zambia kutokana na majina yake
Tanzania imeitaarifu Zambia kwamba hawako tayari kumpokea balozi wao mpya kutokana na majina yake kubeba tafsiri isiyokubalika katika jamii ya Watanzania. Balozi huyo mpya anaitwa Mr Musenge Mukuma.www.jamiiforums.com
Ni kweli, kajiandaa kweli kweliSema mtani hataki mchezo kajipanga
Na sasa Wenu anaitwa Joyce Lomalisa.
Tabata anaendelea tu Kubinjuliwa.Yule Kipa wenu Choko Kabwili yupo wapi [emoji1787]