Yanga SC kwanini Jina la Mwanzo la huyu Mchezaji wenu Mpya Mkongomani mnalikwepa kulitaja?

Kwani hata akiitwa Anna au Esta inazuia nini yeye ku perform?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Da Joy atakua anatembeza ball left wings.
Wacha wee,
 
Mimi sio yanga ila wanafanya vzuri kwenye usajili
Usajiri upi?
Joyce.
Kambole
Bigirimana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hauko serious.
 
Baada ya kuona umri umeenda ikabidi achukue cheti cha dada yake ili awahadae mazuzu ila yanga kweli ni nyumbu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba mmekuwa mapuga, WATU wanasajiri wachezaji nyie mnachambua majina[emoji23]. Trh 8 utamjua huyo Joyce ww puga la tarime.
Mapunga ndo yako huko jangwan, mmemchukua shost ake kabwili, ili asiwe mpwekeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kufahamu kuwa hauna Akili mno au?
Ficha upumbavu wako; mtu mwenye akili timamu huwezi kufungua thread kujadili jina la mtu. Makabalia mbalimbali na mataifa mbalimbali wanatumia majina tofauti. Tanzania tuna majina mengi ya ajabu lakini huyaoni kwa mfano akina Mapunda, Sokoine, Pombe Magufuli, Kakobe, Masamaki, Katembo, Makamba, Kuwayawaya, Makundi, Masilingi, na wengineo na tunayatumia bila kushangaa; jina ni identification tu. Hata wanawake kuna wanautumia majina ambayo sehemu nyingine ni ya wanaume kwa mfano Hillary Clinton ni mwanamke lakini pia tuna Charles Hillary mwananume, au kuna akina Morgan Radford mwanamke ambapo pia kuna Morgan Freeman akiwa ni mwanamme. Shida yako ni nini kama siyo upumbavu unaokusumbua kufikia kukaa na kuanzisha thread ya kujadili jina la mtu anayetokea nchi nyingine kabisa ambako hujui lugha yake au destruli zao na wala huna uhakika kuwa huko kwao Joyce ni jina la kiume.

Jinga kabisa wewe.
 
Sawa Da Joi. Unatumia Pedi gani Dada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…