Yanga SC wamefanikiwa 100% kwa hii 'Unbeaten Record' yao na 'Propaganda' madhubuti

Kiujumla Yanga wanabebwa wakiwa wanabebeka. Hivi Kwa Jana hata refa angesema anatoa penati angetumia tukio gani?
Matukio ya penati yalikuwepo tatizo yalikuwa pande zote
 
Ndio maana wanabaki mabingwa wa hapahapa~bahati mbaya kitu cha mwananchi hakijawahi kufaulu kwa muendelezo,muda utasema
 
Siku hizi Genta kwenye Great Thinking unazidi kuporomoka na kupanda chati kwenye matusi.
Sasa unawasifia au unawakandia kwa ushindi wa propaganda wanaoupata? Unazidi kuwajaza ujinga maana ni sawa na mbwa anayekuwa mkali ndani ya ua lakini akitolewa nje ankunja mkia makalioni.

Hii ni kama unawasema kimafumbo. Haya sijui wanachukuliaje Utopolo wenyewe.
 
GENTA,

Simba kwenye kitengo cha propaganda wamewapatia njaakalihatari na OKW BOBAN SUNZU sidhani kama upo sahihi kusema kua kwenye kitengo cha propaganda hamna watu.

Ebu pitia nyuzi za hawa watu ndicho utaamini nachokisema.

Anyways!! Mpira wa propaganda haupo siku hizi, Propaganda zimebaki kwenye siasa.
 
Sasa huku caf wanapoteana vipi?
Linapokuja suala la mashindano ya kimataifa kuna mambo mengi kikosi kizuri tu pekee haitoshi kwa 100%, timu inabidi iwe na DNA ya mashindano husika na iyo kitu uwezi kuinunua inakubidi ushiriki mashindano husika mfululizo ukiwa na focus, unaanguka unainuka unajipukuta vumbi unasubiri msimu unaofata trust me yanga akija kupata DNA ya mashindano ya kimataifa atafanya vzr kuliko simba aliogotea pale pale robo fainali.. uwenda yanga ikawa ndo timu ya kwanza bongo kuingia semi kama sio kuchukua ubingwa kabisa
 
Ndio maana wanabaki mabingwa wa hapahapa~bahati mbaya kitu cha mwananchi hakijawahi kufaulu kwa muendelezo,muda utasema
Uko kwengine tofauti na hapa hapa uyo simba ashawahi kupata ubingwa wa kombe gani ambalo yanga hana?
 
Either ni mjinga au una matatizo ya akili mechi zote za yanga unbeaten zipo na kufungwa Yanga atafungwa tu ni suala la mda, wewe kama mshabiki wa Simba mfano wangekua na unbeaten ya mechi 43 usingeongea tuacheni unafki
 
Sometimes saa mbovu huwa inasema UKWELI.. leo popoma umeongea point kidogo ila kwa kuwa dish lime yumba, umepuyanga hapo kwenye ishu ya marefa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…